CCM Wapongezwe kwa Kuiogopa CHADEMA, Wasibezwe!

Na ccm wamejipanga kwa kupora bila aibu form za wagombea udiwani na ubunge kwa kutumia TISS na green gurd...pia mbinu itakayotumika ni kusema form haikujazwa vzr na mambo mengi mengi ilimradi tu mtu wa ccm apite bila kupingwa...huku mitandaoni akina bia yangu, wakudadavua na mgonjwa mtambuka wakijifariji kuwa chadema imekufa...ndo maana wanadai mwaka huu hatuwezi kushinda...onyo kwa ccm na serikali yake, huu mwaka kam mtaleta figisu bc historia itaandikwa upya...na tutawashinda kwa vyovyote vile...leteni upimbi lkn nchi mtaiona chungu...
 
Yaani achana na Mh. Mbowe, wakisikia Halima Mdee ana press basi watu wa usalama hadi mlangoni kwake...

Hawajiamni kabisa ..!! why wakati wanawaletea wananchi maendeleo?
 
Na ccm wamejipanga kwa kupora bila aibu form za wagombea udiwani na ubunge kwa kutumia TISS na green gurd...pia mbinu itakayotumika ni kusema form haikujazwa vzr na mambo mengi mengi ilimradi tu mtu wa ccm apite bila kupingwa...huku mitandaoni akina bia yangu, wakudadavua na mgonjwa mtambuka wakijifariji kuwa chadema imekufa...ndo maana wanadai mwaka huu hatuwezi kushinda...onyo kwa ccm na serikali yake, huu mwaka kam mtaleta figisu bc historia itaandikwa upya...na tutawashinda kwa vyovyote vile...leteni upimbi lkn nchi mtaiona chungu...
CCM hamna chama humo, limebakia Jeshi la Police, Tume ya uchaguzi kuhalalisha uporaji wao wa kura.
 
Back
Top Bottom