Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
CCM Kinondoni wapo kwenye Kikao cha siri Mwananyamala wakipewa maelekezo jinsi ya kuratibu zoezi la kugawa Sabuni, Chumvi, T-Shirt, Kanga na Kofia za CCM ili kurubuni watu wamchagua Mgombea wa CCM aliyekataliwa na watu baada ya kuuza Ubunge wake.