CCM wapo kwenye kikao cha Siri Mwananyamala wakipewa maelekezo jinsi ya Kuratibu Kugawa sabuni chumvi, T-shirt na kanga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
CCM Kinondoni wapo kwenye Kikao cha siri Mwananyamala wakipewa maelekezo jinsi ya kuratibu zoezi la kugawa Sabuni, Chumvi, T-Shirt, Kanga na Kofia za CCM ili kurubuni watu wamchagua Mgombea wa CCM aliyekataliwa na watu baada ya kuuza Ubunge wake.

uratibu.jpg
 
View attachment 690325
Kwa ccm hilo mbona ni jambo la kawaida mkuu labda ungetuambia kwenye uchaguzi huu ccm hawajatoa rushwa kwa wapiga kura hiyo ndiyo ingekuwa habari
 
Urubunifu kama huo wapeleke huko mikoani ila kwa hapa dsm wanajipotezea muda tu..ni ngumu sana mtu wa kinondoni kumrubuni kwa chumvi na kanga
 
CCM Kinondoni wapo kwenye Kikao cha siri Mwananyamala wakipewa maelekezo jinsi ya kuratibu zoezi la kugawa Sabuni, Chumvi, T-Shirt, Kanga na Kofia za CCM ili kurubuni watu wamchagua Mgombea wa CCM aliyekataliwa na watu baada ya kuuza Ubunge wake.

View attachment 690325
Hizi zawadi huwezi kuzipata isipokuwa wakati wa uchaguzi tu!!!

Hatari sana kwa taifa
 
Safari hi hamruki na chopa ? Makengeza kafirisika, na mamvi naye choka mbaya
Sijaziona Pushapu Au ziko Likizo sioni makeke ya Msukuma na Sendeka wako wap? Au ndo Ujinga mloufanya kusema ndio Mzee kwa Mtulia na bado Suruali zitawashuka Mtulia hauzikiiiii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom