GE2025 CCM wapitisha maprofesa 16 kugombea ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Daah hawa kwanini wasibaki kufundisha??

Matumizi mabaya kabisa ya elimu zao

Sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu!!??

Huko bungeni tungewaacha wanaojua kusoma na kuandika tu
Hawa maprofesa wangebaki kushika chaki
2010 wakati nasoma Udsm huyu Prof Kitila mkumbo enzi hizo ni Dr na mfuasi mkubwa wa Chadema alikua anatufundisha course moja ya education inaitwa SOCIAL PSYCHOLOGY alikua anatoa mifano mingi ya kuiponda sana Ccm na watu wake.. Leo 2025 nikimwangalia Profesa Kitila Mkumbo kwenye TV mpaka naishiwa nguvu.
 
Hawa maprofessor wote mbona sisi waislam hatumo Ina maana hatujaenda shule, au
 
Umemsahau Proff Adolph Mkenda, jimbo la Rombo
 
Ma-prof wa asalamaleko naona ni wa kutosha hapo fasi kwa dwasi... hapo ndichi wapo mob
 
Kwanini mtanzania akiwa hana kitu, anaona wivu kwa aliyenacho! Kwanza fundisha chuo na hangaika kuchapisha, nawe utakuwa u profesa ila isisahau kwanza kupata PhD itakayohifadhiwa online
Umejipa mawazo ya kimasikini.Hao unaowatetea ni njaa zinawasumbua kuliko hata machinga muuza hereni anavyojua kujihimili kimawazo na kiuchumi.
 
Kwa hiyo watasimamia serikali na kuikosoa pale inapopinda?
Rushwa wataacha, wizi Je?
Ubadhirifu nao? Ajali vipi
Bungeni panatakiwa watu wa kujenga hoja na kuona na kusema mabaya yarekebishwe
 
Prof Adolf Mkenda jimbo la rombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…