TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,991
- 22,065
Nikiwa rais, ubunge na udiwani hautakiwa na mshahara ila nitawapa posho kidogo tu za kuwawezesha kuishiDaah hawa kwanini wasibaki kufundisha??
Matumizi mabaya kabisa ya elimu zao
Sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu!!??
Profesa wa mahabaNa mimi prof. Lovely Emmy nimetupwa nje.
profesa kwa taaluma.Profesa wa mahaba
Ndio taaluma ya mahabaprofesa kwa taaluma.
Na ndivyo inavyotakiwaNikiwa rais, ubunge na udiwani hautakiwa na mshahara ila nitawapa posho kidogo tu za kuwawezesha kuishi
Wameona siasa inalipa kuliko taaluma😭😭😭Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-
1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)
2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)
3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)
4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)
5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)
6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)
7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)
8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)
9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)
10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)
11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)
12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)
13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)
14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)
15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)
16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
hakuna taaluma inayoitwa profesa wa mahaba mkuu jiheshimu na ujihurumie.Ndio taaluma ya mahaba
Njaa Haina adabu🤣🤣🤣🤣🤣Daah hawa kwanini wasibaki kufundisha??
Matumizi mabaya kabisa ya elimu zao
Sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu!!??
Huko bungeni tungewaacha wanaojua kusoma na kuandika tu
Hawa maprofesa wangebaki kushika chaki
Anapita mama anamuhitajiNamba 7 anakosa.
Mnisamehe kusema nasikitika kuona wote wanatoka katika itikadi moja, mbali na ya siasaKama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-
1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)
2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)
3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)
4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)
5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)
6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)
7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)
8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)
9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)
10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)
11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)
12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)
13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)
14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)
15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)
16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Tunahitaji watu wenye uwezo kama huu kuwa wabunge wetu. Unapokuwa na wasomi wa namna hii, unalijengea bunge heshma na uwezo wa kutekeleza majukumu yake.Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-