Sawa.Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.
Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.
Mendeleo hayana chama.
Bado unaimba wimbo huu!!? Mbona kama umepitwa na wakati!Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.
Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.
Mendeleo hayana chama.
😆😆😆😆😆Sawa.
KAWE ALUMNI
Hao wamechaguliwa na nani . naona taratibu CCM kinakua kikundi cha watu wnao ongoza inchi kimabavu kama wakoloni au makaburuWapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.
Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.
Mendeleo hayana chama.
Huyu jamaa namfananisha na mzazi aliyefurahia mtoto kufia wodi ya wazazi wakati anajifungua akisema amempunguzia gharama za matunzoYaani badala ya kusikitika kwa sababu demokrasia imebakwa, wewe unafurahia! Kweli kazi ipo.
Litakuwa jambo jema maana lita save time, money and resources.
P
F f f f f f f f f division zeroWapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo.
Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024.
Tumeokoa mabilioni kwa kuepuka uchaguzi ,sasa mabilioni ya uchaguzi yaelekezwe kwenye maendeleo.
Mendeleo hayana chama.
Ana id mbili ?Sawa.
KAWE ALUMNI