WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
1.kununua shahada za kupigia kura.
2.kutumia polisi kutisha wapiga kura kwenye zoezi la kupiga kura na hata wakati wa kuhesabu kura.
3.kuondoa baadhi ya majina ya wapiga kura kwenye vitua vya kupigia kura.
Hapa ndiyo huwa naumia mwenzenu, maana wali dagaa wa siku moja, mtu anawatesa miaka 5. Lol!1.Kununua shahada za kupigia kura.
2.kutumia polisi kutisha wapiga kura kwenye zoezi la kupiga kura na hata wakati wa kuhesabu kura.
3.kuondoa baadhi ya majina ya wapiga kura kwenye vitua vya kupigia kura.
Hapo tu ndiyo mwisho wa maneno, huwezi kucheza game, wakati refa ni wa mpinzani wako. Hata ufanye nini lazima akunyonge! ni lazima nguvu nyingi na akili zitumike kuhakikisha hii biashara haramu tunaitoa.Na msisahau jukumu la tume ya uchaguzi kuchakachua kura.
Hapo nako ni hatari, na hawa jamaa ndiyo wanamwaga mpunga kwa wananchi. Wanaamrisha kila kitu.tiss.....................................
Mkuu Bukutonaga, Hii nilikuwa sijawahi kuifikiria. Nadhani hili makamanda wanafuatilia kwa karibu ili kujiweka tayari kwa lolote. Nashauri pia wawe wanakusanya hizi mbinu na kuzidocument kwa ajili ya nyakati zijazo.4.Hupendekeza kuhesabia kura katika jengo ambalo lina selling board afu ukifika mda wanawaambia mawakala kwenda kupata lunch/soda milango inafungwa vizuri kwa SOLEX afu juu ya selling board anakuwepo mtu aloandaliwa na ma-box yalo na kura ambazo zimepigwa afu wanabadilisha hapo wanashinda kama wananawa!
tiss.....................................
Yaani hilo nalo janga kubwa, na hizi njaa zetu zinawafanya waendelee kujipangia kututawala.Mbinu nyingine wanayoitumia ;kama jimbo lina wapiga kura elfu kumi mathalani wao wanaongeza kura zao elfu tatu 3000,hivyo ikitaka kuwashinda lazima wanachi wapige kura za kutosha yaani kituo ccm apate kura 5 CHADEMA 300 HAPO HUWA HAWANA UJANJA