Elections 2010 CCM wanatoa matokeo kwa PIECEMEAL(kidogokidogo) ili kupima hali joto

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Tume ya taifa ya uchaguzi sasa wamedhihirisha kabisa kuwa wamepania kunusuru wabunge wa CCM walioangukia pua. wanachofanya sasa hivi ni kutoa matokeo kidogokidogo kwenye ngazi za udiwani na kusema ubunge na uraisi watatangaza baadaye ni mchezo wa kucheza na akili za watu. Sehemu ambazo wanajua uvumilivu ni sifuri kama Musoma wametoa harakaharaka kuepusha shari.

CCM na NEC, Makame please inusuru Tanzania achieni matokeo yakoke kama yalivyopigwa vinginevyo mnacheza na kiberiti karibu na tank la petrol!!. Narudia tena please waacheni wasimamizi wa majimbo watangaze matokeo yote kama yalivyo. Haiingii akilini kusema kutangaza ya udiwani na kuzuia ya Ubunge na Rais, haya ni mazingira ya kuchezea sauti ya wananchi kwa uroho wenu wa RUZUKU kutokana na idadi ya wabunge. Uchaguzi kuwa huru na haki si kupiga kura tu bali na mtiririko wote wa kuwarudishia wananchi feedback kwa kasi iliyo na haki.
 
Hawa wasimamizi wa Uchaguzi vipi???

Tunataka watoe matokeo yote kabla ya usiku wa leo vinginevyo nchi italipuka.
Pambaf
 
Back
Top Bottom