CCM wanatembea kifua mbele

CCM wanatembea kifua mbele

Mnamo mwaka 1997 na 2015 wapinzani wa nchi hii waliweka rekodi mbaya kabisa kwa kupitisha miswaada ya sera ya madini na 2015 wakapitisha muswada wa sera ya gesi na petroli
Ni miswaada mibovu isiyo na maslahi kwa taifa bali matumbo machache ya wapinzani hao wasiojali utu wa watanzania
sasa Mwenyekiti wa ccm ameliona hilo na kaanza ku deal na suala la madini,issue hii imepokelewa kwa vigelegele sana na wana ccm nchini kote maaana kipindi wapinzani walivyoitikia NDIYOOOOOOOOOOOOO pale bungeni iliwauma sana
Asanteni sana wazalendo wa ccm tuko pamoja sana
Ndidindi.

Nimependa aina ya uwasilishaji wako.
Umetumia style ya upiganaji wa kondoo ya kurudi nyuma na kushamburia.
 
Wewe umesha kunya?kisha oga ulale mtoto wa kike under 18.
Lini uliona wapinzani wamefikia idadi ya kupitisha jambo bungeni wakati walafi wenu hawaungi mkono hata mambo ya maana.
Nawe uwe unasoma lugha ya picha.Umeshindwa kumuelewa mleta jambo hata kwa wepesi?Elimu, elimu, elimu.
 
Wewe umesha kunya?kisha oga ulale mtoto wa kike under 18.
Lini uliona wapinzani wamefikia idadi ya kupitisha jambo bungeni wakati walafi wenu hawaungi mkono hata mambo ya maana.
Mkuu soma vizuri alichoandika mleta Uzi uelewe. Kama hujui lugha ya kifasihi basi kaa kimya
 
Wanao shangilia leo ipo siku watabadirika
 
Back
Top Bottom