CCM WANATAKA KUNINYANGANYA UHAI - Mchungaji

Tumechoka na hawa wachungaji, wameshindwa kuongoza kondoo wao waliopotea wanakimbilia ulaji kwenye siaisa, wataazirika mmojammoja kama mchungaji Slaa anavyo azirika
 
Raia halali wa TANZANIA anajua kuongea na kuandika kiswahili fasaha.
Ninyi mliopewa uraia kwa mlango mnaoujua wenyewe ndio mnaotumia last drop kumpigania weak leader aendelee kwa maslahi yenu.
Sisi tunampenda mtanazania mwenzetu JK ndo maana tunaona kwamba ngwe ya kuongoza ni mzigo mzito kwake. tunataka akale pensheni yake kwa amani since baada ya oktoba 31.
 
Tumechoka na hawa wachungaji, wameshindwa kuongoza kondoo wao waliopotea wanakimbilia ulaji kwenye siaisa, wataazirika mmojammoja kama mchungaji Slaa anavyo azirika

Kwanza Slaa sio mchungaji(Padre) tena, alikuwa hivyo zamani. Pili, hata kama mtu ni mchungaji bado ana haki ya kutoa maoni yake na kushiriki siasa kama wananchi wengine. Kwani Munishi kakosea kusema CCM ni chama cha majambazi? hayo ni maoni yake. Kwahiyo bro. BULL, maoni yako ni pumba tena pumba za shubiri ambazo hata nguruwe anapata shida kuzila, mwaka huu HATUDANGANYIKI. REMEMBER TO VOTE FOR DR. W.P. SLAA.
 
Tumechoka na hawa wachungaji, wameshindwa kuongoza kondoo wao waliopotea wanakimbilia ulaji kwenye siaisa, wataazirika mmojammoja kama mchungaji Slaa anavyo azirika
Nakuonea Huruma msomali wewe, siku za kurudi kwenu zinahesabika.
 
Tumechoka na hawa wachungaji, wameshindwa kuongoza kondoo wao waliopotea wanakimbilia ulaji kwenye siaisa, wataazirika mmojammoja kama mchungaji Slaa anavyo azirika

Alhaj Bull-Shet.
 
Kweli MFA MAJI heshi kutapatapa! CCM wameishiwa hoja, sasa wanarejea zile za zamani!

U-padri wa Slaa mbona SIO ISSUE?
 
Sisi tunachagua viongozi wa kuongoza nchi na mengine sisi hatujui hata kidogo................
 
Tumechoka na hawa wachungaji, wameshindwa kuongoza kondoo wao waliopotea wanakimbilia ulaji kwenye siaisa, wataazirika mmojammoja kama mchungaji Slaa anavyo azirika

kama maisha yamekushinda rudi nchini kwenu huko afghanstan watakupokea maana naona unatupotezea muda

i mean huna hoja ni hali ngumu ya maisha inakusumbua mkimbizi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…