system Imefail kwa mara nyingine tena, lipumba , slaa, maandamano, next kumuapisha President Lowasa
SLAA ilikuwa silaha yao ya mwisho(ATOMIC BOMB) IMEBUMAsystem Imefail kwa mara nyingine tena, lipumba , slaa, maandamano, next kumuapisha President Lowasa
jipe moyo mzeeeLaiti members wa JF wangekuwa ndiyo wapiga kura pekee, EL angekuwa anasubiri kuapishwa tarehe 26/10/2015! Lakini wapi, wenye vichinjio wengi wapo vijijini ambako smartphones ni nadra na TV mpaka vibanda vya kulipia!
Ningekuwa mimi niko kwenye msafara wa EL ningekuwa nahutubia kwa dkk tano! hoja kubwa ikiwa ni nini maana ya UKAWA basi!! KATIBA KATIBA! Unaua CCM asubuhi na mapema! hakuna haja ya kusema meeengi!
Uwanja wa Kisasa kamera kila kona halafu Wanataka GOLI LA MKONO si kujitakia RED CARD huko.
Yaani bahati ya mwaka huu kwa upande wa Upinzani ni nzuri sana,kwani wanachotaka kuona wananchiwa Taifa hili la Tanzzania ni kuhakikisha CCM inaondoka madarakani ,hawataki kusikia mambo ya sera wala ilani na CCM wanalijua hilo ,wananchi wamewabadilikia kiasi ya kufika kusema wako tayari hata kupigia au tuseme kulipa jiwe kura yao nakumbuka kura za CUF za maruhani.
Kwa ufupi UKAWA hawana haja ya kutangaza sera au kuzinadi ,kwani CCM wamefikisha hizo sera na ilani kuwa mambo ya kufikirika hayana ukweli,muda wa miaka hamsini si kidogo ikichukulia nchi haina machafuko ya ndani wala ya nje,nchi imejaa amani ,wananchi wake walikuwa si walalamikaji ni hewala kila kitu kinachonywa na CCM ,yaani shwari kabisa.
maneno matatu tu yanatosha kwa mtu aliepo UKAWA kuyasema na kushuka jukwaani Ondoa CCM Madarakani (OCM)
Laiti members wa JF wangekuwa ndiyo wapiga kura pekee, EL angekuwa anasubiri kuapishwa tarehe 26/10/2015! Lakini wapi, wenye vichinjio wengi wapo vijijini ambako smartphones ni nadra na TV mpaka vibanda vya kulipia!