CCM wanaposhangaa dhiki na matatizo ya watanzania

CCM wanaposhangaa dhiki na matatizo ya watanzania

CCM wameshafanya watanzania mazombi. Mika 60 wameshindwa na wanaishia kushangaa matatizo. Ndo maana kampeni zao ni maji, barabara, hospitali, etc. Wakimaliza kampeni hauoni ata tone la maji kwenye mabomba na bill wanaleta.
 
Inashangaza sana... Kila waendapo ni matamko kama vile ndiyo mwaka huu wameingia madarakani na waliokuwa madarakani ni chama kingine na waliharibu na wao wanarekebisha.
Labda ni kweli hawajui kinachoendelea kumbuka kuna kipindi walikuwa wanasema eti

'wapinzani (Chadema)wametuchelewesha'...huu msemo ulivuma sana.
 
Labda ni kweli hawajui kinachoendelea kumbuka kuna kipindi walikuwa wanasema eti

'wapinzani (Chadema)wametuchelewesha'...huu msemo ulivuma sana.
Halafu jinsi CCM kulivyojaa kasuku wakaanza kurudia rudia hayo maneno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom