OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
mweusi asili
Unaona sasa thinking yako. . . . . .. watu wanaweka mawazo ya kuonesha mambo hayako sahihi we unaona kama wanalalamika. . . . . . .hiyo tu ni kasumba ya mabwanyenye uchwara.......
Sasa wewe ni decision maker, au think tank ya hii nchi, are you a policy maker, wewe unakaa kwenye baraza!!???
Wewe una influence gani katika kuwepo au kutokuwepo wa kiwanda "physically" ???!!! Hao ndio wanaotakiwa "wahakikishe uwepo wa viwanda" sio wewe, mimi wala raia mwingine mvuja jasho.......
Role yako wewe na mimi ni kununua bidhaa zenye ubora ili upate value for money wao wanahitajika kuhakikisha hizo bidhaa zinazalishwa humu nchini . . . . . . so badala ya kuungana nguvu na sie tunaotaka wenye madaraka wachukue wajibu wao we unaleta misemo ya J.F . Kennedy ambaye aliongelea kwenye industrialized country . . . . kwa watu wenye purchasing power na wanaojua standards na haki zao....
Halafu eti unataka watu watumie akili, ipi hiyo ambayo wewe unayo na watu wakitumia unaweza kwenda nao sambamba!!!!???
Wengi mmekuwa brain washed to an extent mna assume responsibilities za watu wengine na mnajilaumu kwa mapungufu yao. . .. . na vibaraka wengine mpo kwa ajili ya blame shifting kuwa kukosekana kwa viwanda ni mapungufu yetu wote.....waambie "people are up their senses".......
Last edited by a moderator: