mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,049
- 3,380
Brain washed. . . . . . .Hebu taja hizo bidhaa unazoita za ndani zinazoweza endesha maisha ya mtanzania wa kawaida bila kununua za nje
ok hata kama hatuna izo bidhaa tunafanya nini kuhakikisha tunazalisha izo bidhaa?, ila tukiendelea kulalamika unafikiri itasaidia, acha kutumia viungo vingine kufikiria tumia akili basi ata kidogo