CCM wanapambana by hooks or crooks utabiri wa sheikh Yahaya usitimie

CCM wanapambana by hooks or crooks utabiri wa sheikh Yahaya usitimie

comasava

Member
Joined
Jun 25, 2024
Posts
7
Reaction score
6
Hicho ndio kinachowatisha CCM...hawatakuwa submissive hata siku moja...Hawatakubali kufanya any reforms hata siku moja..

Uzi tayari
 
Tuendelee kuwa na Imani.

Hata Wana wa Israel walihidiwa kutoka kwenda kanaan wakati Kuna mpaka wa Bahari,hawakujua watavukaje lakini Kwa namna wasiyoitarajia Mungu aliwavusha na farao alizama kwenye bahari.

Mungu atatuvusha hapa misri kwenda kanaani katika namna tusiyoitarajia.

Tuendelee kuamini tu,mkuu.
 
Hicho ndio kinachowatisha CCM...hawatakuwa submissive hata siku moja...Hawatakubali kufanya any reforms hata siku moja..

Uzi tayari
"Anayemwendea mtabiri na kumuuliza kuhusu jambo fulani, basi swala zake hazitakubaliwa kwa siku arobaini."
(Imepokelewa na Muslim).
 
Hatima lazima itimie haijalishi watakwepa vipi
 
Back
Top Bottom