CCM wanakabiliwa na Chaguzi ndogo 6 za Ubunge kabla ya 2020, Singida chaguzi 2

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Wao wamezoea kuwaimbia watu linyimbo lao lile "NA WAVIMBE WAPASUKE" lakini sasa na wao wajiandae kuvimba na kupasuka maana wanakabiliwa na chaguzi 6 ndogo lakini MOTO katika majimbo sita WATAYOSTUKIZWA kwa style ya Nyalandu...Kati ya Chaguzi hizo, 2 ziko Singida...SINGIDA WAMEAMUA!

Mimi ni mjumbe tu nimewapa habari ili angalau mfanye kikao na Lusinde muandae ZIGO LA MATUSI kama ilivyo kawaida, maana ndo kipaji pekee mlichobaki nacho...KEEP WELL!
 
Ccm hawakawii kutangaza ushindi kwa wagombea walioangukia pua katika sanduku la kura
 
Badilini sheria za uchaguzi na leteni tume huru ya uchaguzi.
nakwambia tena ndugu yangu tume huru haiombwi hata siku moja kwenye tawala za Afrika,tume huru inapiganiwa...kama baba yenu tuu mliyembatiza baba wa demokrasia aligoma kutengua ile tume ya IEBC ambayo ilionekana ni mbovu sembuse Tanzania ambako upinzani wenyewe legelege kama huu?

Na ukisusa wenzio twala,refer to Zanzibar,refer to Kenya...
 
Back
Top Bottom