Ukweli mtupu!CCM haitoki leo wala kesho madarakani. Chukua mfano, tangu Mama aingie madarakani, yeye pamoja na chama chake na serikali yake wamepata uungwaji mkono mkubwa hasa humu JF. Wale waliokuwa mstari wa mbele kupinga leo ndio wanahakikisha wanamsema vizuri Mwenyekiti wa CCM na Serikali yake kuliko wana CCM yenyewe. Tundu Lissu sio habari kwao tena. Chadema si kitu tena. Kwa hali hiyo, CCM itatawala DAIMA!
sasa hivi ni CHADEMA daima maana wanalosema Chadema, mwenyekiti wetu mbio.Ukweli mtupu!
.
Haya majamaa yalishaelekea kibra tena yalijipeleka yenyewe, mama yeye ni kuvuta na kugonga tu.
Ccm daima
Hili li chama ni balaa na laana kubwa sana kwenye hii nchi , yaani tuombe tu Mungu akichukue hiki chama kikawe cha malaika mbinguni ndio hii nchi itapona vinginevyo haya majitu ya kijani kibichi ni yaleyale akili zilezile.