Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 337
- 1,945
Picha utafikiri za miaka ya 1914 kwenye Vita kuu ya dunia
Picha utafikiri wanamlika samaki kwenye maji?
CCM wanashindwa kabisa kuweka technology nzuri
Hizi aibu kwa nchi mpaka lini ? Hawajui tupo duniani na dunia inafatilia haya maigizo yao?
Ndio maana wakenya wanatucheka tu na kuhaki system za nchi.
Hii sio video low quality Bali ni anoloji pro Max
Haibu nyingine kwa Taifa
Halafu mbona Kuna watu siwaoni hapo kulikoni wako wapi
Top leaders wako wapi wengine mbona siwaoni?