CCM wanafanya maandamano Mwanza

Cc ni CCM na Sio hivyo vyama uchwara
[
QUOTE="leonaldo, post: 22487845, member: 255595"]Mkitukanwa mnakimbilia polisi,wakati midomo yenu inatapika funza![/QUOTE]
 

Wewe unajibu upo eneo la tukio? Au ukereketwa tu unakukuna mpaka unajikuta unaropoka hovyo?
 
Mkuu aya maandamano yalipita nyerere road yakaenda paka stand ya mwaloni wakazindua tawi pale stand wakiwa na yule shaka nakatoka stand yakaenda sahara na matango yalipita njiani ila polisi kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamepewa kibali na nani?
 
Wa kujilaumu ni sisi kutwa kucha ni kulalamika tu!! Hakuna hata mmoja aliyeonyeshwa mfano.
Inatakiwa nas tufanye wanayoyafanya maana katba inaturuhusu au na wao tuwazuie maana uwezo huo tunao. Kila wanapokusanyika ni mwendo wa ma.we tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…