Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,712
- 8,769
Mida hii nipo maeneo ya Aga khan naskia makelele road kuangalia ni CCM wana andamana kelele zinapigwa
Hivi maandamano si yalipigwa marufuku nchi au nyie CCM na mwenyekiti wenu mnaona hii nchi ni Mali yenu pekee yenu hadi mnaleta ubaguzi?
Haiwezekani wengine wajiachie wengine wabanwa sio haki
Utasemaje haiwezekani wakati tayari wameshayafanya hayo maandamano! Kisichowezekana labda kwa sasa ni kujivika moyo wa chuma wa wale wote wanaochukia namna inchi inavyopelekwa pelekwaMida hii nipo maeneo ya Aga khan naskia makelele road kuangalia ni CCM wana andamana kelele zinapigwa
Hivi maandamano si yalipigwa marufuku nchi au nyie CCM na mwenyekiti wenu mnaona hii nchi ni Mali yenu pekee yenu hadi mnaleta ubaguzi?
Haiwezekani wengine wajiachie wengine wabanwa sio haki
Nimecheka kama vile ni mazuri!Hayo nayo ni maandamano! watu wanajipitia tu wengine wanakimbia kama ngoma ya mdundiko unasema maandamano! au kwasababu wanataja jina la Magufuli. Ndugu tofautisha maandamana na watu kukimbia barabarani wakishangilia. Hawa hawana tofauti na wale waliokuwa mahakamani jana wakiimba peoples power