cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 827
Umetuambia anaandikisha ili mpewe kadi za kieroktroniki halafu unatuuliza tena wakati jibu unalo mwenyewe. Are you serious?Nimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti,,nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje,nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki,nikamwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA,kuchungulia zile karatasi naona majina yalishafika kalibu 60,Sasa sijajua anaandikisha kwa maslai ipi, wanaojua zaidi
Maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko inje ya inchi kutafuta mkate
Huwezi kujua nyuma ya pazia kumejificha niniUmetuambia anaandikisha ili mpewe kadi za kieroktroniki halafu unatuuliza tena wakati jibu unalo mwenyewe. Are you serious?
Huko CDM mbona karibu wote mna vioja sawa?
Kadi za electronics za CCM ni chanzo cha mapato ya CCM Wilaya.Nimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti,,nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje,nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki,nikamwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA,kuchungulia zile karatasi naona majina yalishafika kalibu 60,Sasa sijajua anaandikisha kwa maslai ipi, wanaojua zaidi
Maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko inje ya inchi kutafuta mkate
Are you mpiga ramli?Huwezi kujua nyuma ya pazia kumejificha nini
Hawa jamaa hawawezi kuondolewa kwa sanduku la kura ,opposition party wajitafakari.Nimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti, nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje, nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki. Nikamwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA, kuchungulia zile karatasi naona majina yalishafika kalibu 60.
Sasa sijajua anaandikisha kwa maslahi yapi, wanaojua zaidi watusaidie maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko nje ya nchi kutafuta mkate.
Nimekwambia mimi siishi Tanzania niko hapa likizo nina wiki tatu na toka niondoke Tanzania nina zaidi ya miaka 4,Are you mpiga ramli?
Kadi mpya na za kisasa za CCM, Yanga,nk zipo tu na vijana wanaandikisha sanaa tu anytime you like. Ni hela yako tu.
Cha ajabu ni kipi kwani wewe ndiyo wajua leo ?
Things have changed in Umofia my friend!Nimekwambia mimi siishi Tanzania niko hapa likizo nina wiki tatu na toka niondoke Tanzania nina zaidi ya miaka 4,
Hayo ni maandalizi ya wizi wa kura, hilo zoezi limefanyika nchi nzimaNimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti, nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje, nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki. Nikamwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA, kuchungulia zile karatasi naona majina yalishafika kalibu 60.
Sasa sijajua anaandikisha kwa maslahi yapi, wanaojua zaidi watusaidie maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko nje ya nchi kutafuta mkate.
hiyo ndiyo sayansi ya siasa sasa.Nimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti, nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje, nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki. Nikamwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA, kuchungulia zile karatasi naona majina yalishafika kalibu 60.
Sasa sijajua anaandikisha kwa maslahi yapi, wanaojua zaidi watusaidie maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko nje ya nchi kutafuta mkate.
Naanza kupata akili kumbe kura za mfumo wa kidijitali ndiyo sahihi unahitajika kudhibiti wanakwenda maporini kuchimba dawa bila kutumwa na serikaliNimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti, nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje, nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki. Nikamwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA, kuchungulia zile karatasi naona majina yalishafika kalibu 60.
Sasa sijajua anaandikisha kwa maslahi yapi, wanaojua zaidi watusaidie maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko nje ya nchi kutafuta mkate.
Hilo sijalikataa wala silipingi shida ilikuja kwenye namba za kitambulisho changu cha mpiga kura, kinahusikaje na kadi ya uanachama?hiyo ndiyo sayansi ya siasa sasa.
wananchi nchi nzima wanatembelewa nyumba kwa nyumba na mabalozi na viongozi wa matawi ya ccm, hata kama wewe ni wa chama gani lazima viongozi wa ccm wabishe hodi kwako na wakusakimie kichama, upende usipende,
na huo ndiyo ungwana na kwakweli ccm ni chama cha wananchi wote Tanzania, huko majumbani walipo na sio mitandaoni kama vyama vingine vya siasa humbwelambwela huko
kwahiyo ndrugu zango ukiona vyaelea ujue vimeundwa hivyo, ushindi ni lazima
Nimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti, nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje, nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki. Nikamwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA, kuchungulia zile karatasi naona majina yalishafika kalibu 60.
Sasa sijajua anaandikisha kwa maslahi yapi, wanaojua zaidi watusaidie maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko nje ya nchi kutafuta mkate.
Hatari kubwa Du!!!Boniface Jacob
@ExMayorUbungo
·
7h
We upo serious unajua Kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.Wenzio wanasema,Wananchi ni wapumbavu,lete vitoto vyote vya kidato cha kwanza hadi cha nne tuviandikishe.We Mzazi unajua mwanao yupo darasani anasoma,Kumbe CCM wamemchukua kwenda kuchezea Daftari na kuharibu Demokrasia
View attachment 3122649
CCM wenyewe wanajua umuhimu hizo kadi kwa wanachama wao wa CCM 🐒Hilo sijalikataa wala silipingi shida ilikuja kwenye namba za kitambulisho changu cha mpiga kura, kinahusikaje na kadi ya uanachama?