CCM: Wana-MTWARA watafutiwe adhabu

CCM: Wana-MTWARA watafutiwe adhabu

Mleta mada ni muongo na mzushi mkubwa, ccm wapo likizo tangu tarehe moja ya mwaka mpya hadi jumatatu.danganyaneni
Wewe ndiye muongo.Lini umeona Maafisa wote wa chama wameenda likizo? Acha ujuha kijana
 
Mtwara wametumia demokrasia kuhoji na kulalamikia serikali yao,bado wananchi wana fursa nyingine kutumia demokrasia kuamua hatima yao kwa sanduku la kura mwaka 2015.

KIGOMA,Serikali ya CCM ilikuwa haiwasikilizi(wananchi wakaipiga chini katika uchaguzi) ,sasa CCM ijifunze somo kutoka KIGOMA,watafute majibu ya kero za Mtwara/Lindi katika kutatua kero zilizobainishwa na wananchi.!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom