1.James ole Millya-Mkiti wa vijana mkoa wa Arusha na mfuasi wa EL
2.Gaudance Lyimo-Meya wa Arusha ambaye ana mgogoro wa nafasi yake na wananchi.
3.Dk.Hamis Kibola- aligombea mwaka 2010 akashika nafasi ya 3 kura za maoni nyuma ya batilda na felix Mrema ni Mkurugenz wa mfuko wa uwekezaji UTT.
4.Felix Mrema-Mbunge wa zamani.
5.Deo Mtui-Afisa Takukuru mkoa wa kilimanjaro aligomba mwaka 2010.
6.Michael Sekajingo-aligombea 2010.
Ila hao wote sidhan kama wanaweza kuhimikli moto gesi wa CDM hasa kipindi hiki ambacho wimbi a mabadiliko limeshika kasi