CCM wamezidi uongo aisee

CCM wamezidi uongo aisee

Joined
Feb 27, 2015
Posts
35
Reaction score
35
Wanasema Mwanza wamefurika... Naona kama kuna mikutano 3 hapo .... Teh! Teh! Teh! Hizi photoshop bhana ....
 

Attachments

  • 1445165695532.jpg
    1445165695532.jpg
    105.7 KB · Views: 1,742
Tuliona kwenye Startv live...haina haja ya kutuaminisha kama waliohudhuria walikuwa ni wawili au kumi..
 
watanzania waliiona nyomi ya mwanza...propaganda zenu hatuzitaki hapa...mnatengeneza picha halafu mnasema ccm wanatengeneza fyoooooo
 
Wanasema Mwanza wamefurika... Naona kama kuna mikutano 3 hapo .... Teh! Teh! Teh! Hizi photoshop bhana ....
ingia michuzi blog kuna video kabisa ikionesha huo mkutano. usiwe mbishi bila kujiridhisha na taarifa husika.
 
Watu kuhudhuria co shda wanacklza sera nashangaa kiongoz mpumbacu mmoja wa ccm alkataza wananch kuhudhuria mikutano ya ukawa co demokrasia hyo
 
ccm wamechoka kila mahali. Hawana pumzi
 
huyo si sawa na makada wengine kama wakuu wa mikoa na madc
acha bangi. kwani mtu akiongea si unaona mwenyewe anachoongea na watu anaoongea nao? anawataja wana-mwanza nipeni kura na kadhalika? ubishi mwengine ni wakipuuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom