CCM wameweza kuwatoa kwenye reli wapinzani wao kupitia CHATO

Chato imekuwa njia kwa CCM kuwapa ghadhabu na jazba wapinzani mpaka kufikia baadhi yao kuropoka upuuzi..Mbowe anajua Mtego wa Chato humkuti akiingia kichwa kichwa kuuongelea wilaya hiyo...

Ukweli uko wazi halmashauri nyingi Za majiji na manispaa zinaboreshwa na kujengewa miundo mbinu mipya..

Ila Chato kwa makusudi Ccm wanaitangaza miradi hiyo kwa nguvu ili kuwaumiza wapinzani wao wakose Muda wa kujadili na kupanga mambo ya msingi na kubaki kuuongelea Chato..
Maana Chato ukiisikia mitandaoni na yenyewe ilivyo ni tofauti..Bora mtu Huishi Buseresere au Katoro Kuna mishe Za kufa mtu
Yaaanii
 
Ndio sababu ya watu kutaka fedha za walipa kodi ziwekezwe katika maeneo ya nchi yaliyo strategic kiuchumi,ndio maana watu wanauliza kama uwanja wa ndege na mpira ni muhimu na unapaswa kuwa kipaumbele eneo hili au ni ufujaji tu wa fedha
Hivi brother CHATO unaijua au unaisikia..nenda peleka mtaji wako kwa kuwasikiliza wanasiasa..hayo maneno ya Dr kalemani angeweza kuongea hata mbunge wa masasi..tena masasi panaweza kuwa bora kuliko Chato..HUWEZI KUWATOA WAFANYABIASHARA KATORO AU NYAKANAZI UWAPELEKE CHATO KISA WANASIASA AU RAIS WAMESEMA....
KARIBU KILA WILAYA SASA HIVI INAMIUNDO MBINU ANGALAU MIZURI ILA SUALA LA KUWEKEZA NI AKILI YA MFANYABIASHARA MWENYEWE..
BRAZA CHATO INAPEWA TU PROMO LAKINI HAMNA JIPYA BRO WALA USIPATE HASIRA UKAJUA IMEKUWA DUBAI...WABUNGE WA MBEYA MJINI,MWANZA,DODOMA MJINI,IRINGA MJINI WAKIAMUA KUPIGA PROMO KUBWA MIKOA HII,HATA MIMI NAWEZA JISIKIA WIVU MAANA MIKOA HII INAVUTIA KIUWEKEZAJI..
Mpaka magufuri anaondoka madarakani nakuhakikishia Chato Manispaa haiwezi hata kuifikia jirani yake mji km kahama..bukoba MJINI
Zaidi itasinzia kama SHINYANGA MANISPAA ILIVYOZUBAA
 
Back
Top Bottom