CCM wameweza kuwatoa kwenye reli wapinzani wao kupitia CHATO

B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,203
Points
1,500
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,203 1,500
Chato imekuwa njia kwa CCM kuwapa ghadhabu na jazba wapinzani mpaka kufikia baadhi yao kuropoka upuuzi..Mbowe anajua Mtego wa Chato humkuti akiingia kichwa kichwa kuuongelea wilaya hiyo...

Ukweli uko wazi halmashauri nyingi Za majiji na manispaa zinaboreshwa na kujengewa miundo mbinu mipya..

Ila Chato kwa makusudi Ccm wanaitangaza miradi hiyo kwa nguvu ili kuwaumiza wapinzani wao wakose Muda wa kujadili na kupanga mambo ya msingi na kubaki kuuongelea Chato..
Maana Chato ukiisikia mitandaoni na yenyewe ilivyo ni tofauti..Bora mtu Huishi Buseresere au Katoro Kuna mishe Za kufa mtu
Wewe unaijua chato vizuri kabisa. Kuna watu wanaoneshwa picha za viwanja vya ndege vingine wanadhani ni chato. Jamaa mmoja alikuwa na picha ya Chato international airport, sasa alivoona Kenyatta anatua alishangaa kuona ni porini tuu hakuna jengo hata moja. Kwa sasa Bwanga, Nyakanazi tuu zimechangamka kuliko chato kwa mishe. Ukitaja buse na katoro umeenda mbali sana.
 
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
3,743
Points
2,000
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
3,743 2,000
Daah unanikumbusha mbaaali saaana miaka hio nasoma INTERNATIONAL SCHOOL MOSHI (ISM)
Huo mtaa wa shanty town ndio ilikua njia yangu kubwa,na kumbukumbu kubwa nlioiacha hapo shantytown nlipigilia plate namba ya gari juu ya mti
Sijui bado ipo
Sehemu gani hiyo ndugu mimi nipo hapa karibia na Glacier inn kwenye kona.
 
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
3,743
Points
2,000
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
3,743 2,000
Chato imekuwa njia kwa CCM kuwapa ghadhabu na jazba wapinzani mpaka kufikia baadhi yao kuropoka upuuzi..Mbowe anajua Mtego wa Chato humkuti akiingia kichwa kichwa kuuongelea wilaya hiyo...

Ukweli uko wazi halmashauri nyingi Za majiji na manispaa zinaboreshwa na kujengewa miundo mbinu mipya..

Ila Chato kwa makusudi Ccm wanaitangaza miradi hiyo kwa nguvu ili kuwaumiza wapinzani wao wakose Muda wa kujadili na kupanga mambo ya msingi na kubaki kuuongelea Chato..
Maana Chato ukiisikia mitandaoni na yenyewe ilivyo ni tofauti..Bora mtu Huishi Buseresere au Katoro Kuna mishe Za kufa mtu
Yaani ata mimi nishaona hilo maana anataka kumrusha roho Bernard Membe apandwe hasira kisha haamiye Chadema kisha ile sheria ya vyama vya siasa immaliziye mbali kuleée Jiwe mjanja sana ila mjinga sana vile vile
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,725
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,725 2,000
Kwa sasa hata CCM ikijamba kwa bahati mbaya tu baada ya kuvimbiwa makande tutaambiwa ni mbinu maalum kutoka North Korea ya kuwapiga chenga wapinzani.
 
ryan riz

ryan riz

Senior Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
192
Points
225
ryan riz

ryan riz

Senior Member
Joined Feb 17, 2015
192 225

Bro Chato umefika lakini au unaijulia mitandaoni? Kuna kitu gani kigeni ambacho wilaya zingine hakuna?
 
toroka uje mjini

toroka uje mjini

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Messages
1,494
Points
2,000
toroka uje mjini

toroka uje mjini

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2017
1,494 2,000
Sehemu gani hiyo ndugu mimi nipo hapa karibia na Glacier inn kwenye kona.
Huo mti upo mkono wa kulia njia panda ya kuelekea ISM
Hapo hapo ktk kona ya Ism kuna mti nilioigilia plate namba ya gari miaka ya 90’s angalia mkuu kama bado ipo
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,725
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,725 2,000
Bro Chato umefika lakini au unaijulia mitandaoni? Kuna kitu gani kigeni ambacho wilaya zingine hakuna?
Wilaya ngapi zinapangiwa kuwa na investment hub Tanzania?

Dr Kalemani: Chato set to become a new potential investment hub in TZ

TUESDAY JULY 9 2019
By Josephine Christopher @JocfineQ jchristopher@tz.nationmedia.com

In Summary
  • The Chato Member of Parliament, who doubles as the Minister for Energy Dr Medard Kalemani, has said following development projects being implemented and natural resources available in the area, Chato is going to become a new potential investment spot in the country.

Dar es Salaam. The Chato Member of Parliament, who doubles as the Energy minister, Dr Medard Kalemani, has said Chato is now an investment potential hub following improved infrastructures and available natural resources.
Dr Kalemani made the statement on Tuesday, July 9, 2019, during the inauguration of the Burigi-Chato National Park held in Chato District, Geita Region.

Speaking during the event graced by President John Magufuli, Dr Kalemani said considering the number of development projects implemented in the district and available natural resources in the area, Chato is growing into a big city in the near future.

“I want to send this message to citizens across the country that Chato is an investment potential spot. We have developed roads, an international airport, and soon we will be constructing a football stadium that will also be used as a tourist’s attractions. Most importantly, Chato is home to various minerals,” he said.
He also noted that power supply will be reliable in the area as the government is implementing the Stiegler’s Gorge hydroelectric power generation project along the Rufiji River Basin.
“I would like to assure local and foreign investors that they will not regret to come and invest in the district,” he said.
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
2,866
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
2,866 2,000
Sera ya serikali ya viwanda vipi haijawatoakwenye reli wewe na ccm yako hata mapambio siku hizi hamuimbi .
 
Hivi brother CHATO unaijua au unaisikia..nenda peleka mtaji wako kwa kuwasikiliza wanasiasa..hayo maneno ya Dr kalemani angeweza kuongea hata mbunge wa masasi..tena masasi panaweza kuwa bora kuliko Chato..HUWEZI KUWATOA WAFANYABIASHARA KATORO AU NYAKANAZI UWAPELEKE CHATO KISA WANASIASA AU RAIS WAMESEMA....
KARIBU KILA WILAYA SASA HIVI INAMIUNDO MBINU ANGALAU MIZURI ILA SUALA LA KUWEKEZA NI AKILI YA MFANYABIASHARA MWENYEWE..
BRAZA CHATO INAPEWA TU PROMO LAKINI HAMNA JIPYA BRO WALA USIPATE HASIRA UKAJUA IMEKUWA DUBAI...WABUNGE WA MBEYA MJINI,MWANZA,DODOMA MJINI,IRINGA MJINI WAKIAMUA KUPIGA PROMO KUBWA MIKOA HII,HATA MIMI NAWEZA JISIKIA WIVU MAANA MIKOA HII INAVUTIA KIUWEKEZAJI..
Mpaka magufuri anaondoka madarakani nakuhakikishia Chato Manispaa haiwezi hata kuifikia jirani yake mji km kahama..bukoba MJINI
Zaidi itasinzia kama SHINYANGA MANISPAA ILIVYOZUBAA
 
F

fikirimswahili

Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
64
Points
95
F

fikirimswahili

Member
Joined Sep 1, 2013
64 95
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..

KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali

Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..
I dont think so
 
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Messages
2,030
Points
2,000
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2013
2,030 2,000
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..

KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali

Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..
Mmmh! Watu husema hata ktk ujinga na upumbavu unaweza kujifunza kitu mbona mimi kwenye post sioni funzo lolote!!!
aaah! Nimekumbuka kuna funzo humu, funzo mojawapo sio wakati wote pumba zinafunza zingine zinafubaza!!!
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,725
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,725 2,000
Hivi brother CHATO unaijua au unaisikia..nenda peleka mtaji wako kwa kuwasikiliza wanasiasa..hayo maneno ya Dr kalemani angeweza kuongea hata mbunge wa masasi..tena masasi panaweza kuwa bora kuliko Chato..HUWEZI KUWATOA WAFANYABIASHARA KATORO AU NYAKANAZI UWAPELEKE CHATO KISA WANASIASA AU RAIS WAMESEMA....
KARIBU KILA WILAYA SASA HIVI INAMIUNDO MBINU ANGALAU MIZURI ILA SUALA LA KUWEKEZA NI AKILI YA MFANYABIASHARA MWENYEWE..
BRAZA CHATO INAPEWA TU PROMO LAKINI HAMNA JIPYA BRO WALA USIPATE HASIRA UKAJUA IMEKUWA DUBAI...WABUNGE WA MBEYA MJINI,MWANZA,DODOMA MJINI,IRINGA MJINI WAKIAMUA KUPIGA PROMO KUBWA MIKOA HII,HATA MIMI NAWEZA JISIKIA WIVU MAANA MIKOA HII INAVUTIA KIUWEKEZAJI..
Mpaka magufuri anaondoka madarakani nakuhakikishia Chato Manispaa haiwezi hata kuifikia jirani yake mji km kahama..bukoba MJINI
Zaidi itasinzia kama SHINYANGA MANISPAA ILIVYOZUBAA
Nimeweka hiyo article kujibu mtu anayesema kwamba Chato hakuna kitu cha tofauti sana kinachofanyika kulinganisha na sehemu nyingine Tanzania.

Mimi nikiwa mtu ninayeona Chato kukipewa upendeleo bila ya sababu za msingi, kwa kuwa ndiko anakotoka rais tu.
 
nitonye

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Messages
7,194
Points
2,000
nitonye

nitonye

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2011
7,194 2,000
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..

KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali

Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..
Wewe kwenye wilaya yako babu zako walikotokea kumejengwa nini? unafikiri wanaosema wote ni wapinzani?
 
ryan riz

ryan riz

Senior Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
192
Points
225
ryan riz

ryan riz

Senior Member
Joined Feb 17, 2015
192 225
Wewe kwenye wilaya yako babu zako walikotokea kumejengwa nini? unafikiri wanaosema wote ni wapinzani?
BRAZA ujue unaweza kuwa unaongea sana tena point juu ya jambo flan mbele Za watu,alafu akatokea mtu wa aliekaa mbele sababu apendi unachoongea ili kukutatisha akakwambia kwa sauti unayoisikia wewe kwamba unanuka mdomo alafu unamtemea mimate..
Bila we kumpuuza ukaanza kupayuka tena kwa mitusi..mwisho wa siku unapoteza tena Hali ya usikivu kwa wale waliokuwa wanakusikiliza na pia watakudharau..
 
M

mitigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
3,334
Points
2,000
M

mitigator

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
3,334 2,000
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..

KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali

Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..
pumbavu huna lolote we ndo unataka tusijadili ubinafsi wa jiwe hvy toa dengue hii
 
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
3,743
Points
2,000
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
3,743 2,000
Huo mti upo mkono wa kulia njia panda ya kuelekea ISM
Hapo hapo ktk kona ya Ism kuna mti nilioigilia plate namba ya gari miaka ya 90’s angalia mkuu kama bado ipo
Pale sasa kuna ka mgahawa unaitwa Glacier inn na kwa hapo kushoto kuna vibao vingi embu ntakutumia picha yake kesho
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,079
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,079 1,995
unasema wapinzani halisi umekosea sana kama wa mtandaoni sawa wengine tuko Bize na maisha yetu ya kila siku
 
Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top