CCM wamepanga hili - read

Wanaweza kutunga movie ila lazima kuna sehemu nyingi movie itakataa Na wananchi watajua Ukweli.

Huoni movie ya Kova ilivyododa!
 
Na wao wajiandae kushitakiwa naomba CDM kama litatokea hili tusilivumilie tuchukue hatua stahili ili iwe fundisho kwa atakaye fanya kitu hicho kuanzia msambazaji na vituo vitakavyoonyesha.

Kwa kutegemea mahakama zipi?

Uchunguzi utafanywa na Polisi hii inayoibeba CCM?
 

Wanainchi jipangeni kuikataa, wanasheria wa Chademe jiangeni kumburuza Mwigulu Mahakamani.
 
Hawa ni mashetani lolote waweza fanya hata kama litawajaza damu kwenye mikono yao.Wamenogewa na madaraka wakijaribu kufikiria kukaa bench wanadata.Ni mashetani wabaya kwani siku zote hawakubali kushindwa.Looooooh!ni nuksi hawa jamaa kinoma.
 

Mbona unajihami mapema? Kuna kitu gani unakiogopa? Fujo ni sehemu ya siasa za Chadema kwa hilo hakutakuwa na jipya la kushangaza na wala siamini kabisa kama CCM wana muda wa kupoteza

Chama
Gongo la mboto DSM
 
that's very possible! i have the same feeling that kuna mchezo mchafu sana unapangwa ndani ya ccm kutoa pigo moja takatifu la kuichafua cdm. its a strange feeling... i think u may be right!

Yeah uko sahihi wana mengi mabaya wameyapanga, wanayapanga na watayapanga
 
asante kwa taarifa, tutawaumbua kama wakati wa SMS kwa Nchemba wakati wa bunge, tunawasubu=iri kwa hamu
 
Wataaibika tu. Ni bora waahirishe maana itakuwa mwanzo wa chama chao kufa.
 
Mbona unajihami mapema? Kuna kitu gani unakiogopa? Fujo ni sehemu ya siasa za Chadema kwa hilo hakutakuwa na jipya la kushangaza na wala siamini kabisa kama CCM wana muda wa kupoteza

Chama
Gongo la mboto DSM

Mbona unahaha sana kisa kamchezo kamegundulika.
 
Mwigulu alikuwa anatengeneza hayo mazingira ya kuleta hiyo filamu yake kutoka bongo movies! Nafikiri ameshaiandaa vya kutosha kuipakua! Tuna isubiri sana hiyo filamu, alete zote, ya Arusha, Nyololo, Morogoro, Usariver alikochinjwa mwenyekiti wa chadema, na Ndago kule jimboni kwake! Na sehemu nyingine ambako mauji ya kisiasa yamefanyika! Ila wawe na uhakika kuwa hakuna kitu kinacholetwa na serikali ya CCM dhidi ya chadema kinachoaminiwa!
 
Mbona unahaha sana kisa kamchezo kamegundulika.

Usiwe na wasiwasi mkuu, teknolojia ya leo inaweza kufahamu kitu ambacho ni fabricated kwahiyo usiwe na shaka.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanainchi jipangeni kuikataa, wanasheria wa Chademe jiangeni kumburuza Mwigulu Mahakamani.

Sioni sababu ya kuwa na wasiwasi cause teknolojia ya leo inauwezo wa kutambua video ambayo ni fabricated, hata hao CCM wanaotaka kuitoa hiyo video wanalitambua hilo. Kama itatoka kweli swala litakalofuata ni CDM kuProve kisayansi kwamba hiyo video ni fabricated.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
acha kubwabwaja wewe si ndio nyie mlisema kama hizo tuhuma ni za kweli mnaomba video, sasa mnahisi ipo mnaanza kujikinga kwa kutengeneza uongo, kwa nini hayo yasisemwe na viongozi wenyewe wa chadema, kwani jamaa si alisema wazi wazi
 
Hivi hii serikali ya CCM haina mambo ya kufanya zaidi ya kudeal na CHADEMA!!!!!!

Kuna wakati akili zinazofanana na za Mh Mwigulu zinakuwa kama primitive hivi..
Hata Makamba Sr alikuwa hivyo. Kama siasa za vyama vingi ni ngumu kwa wao kuzihandle,wapitishe referandum tena,na wazichakachue,tuitangazie dunia,tukubali kuwa mfumo wa multiparty umetushinda.. Badala ya kuboresha maisha ya wananchi wake,wao wako busy kubeza vyama pinzani,na kutumia hila,kurubuni wanachama wake kuhamia CCM..
 

wana kazi kubwa ya kulifanyia taifa....lakini kazi yao kwa sasa ni slaa kafanya nini, CHADEMA imefanya nini!!!!!
kazi ipo
 


CCM Haina Ubaya, pengine kuna viongozi wawili au watatu tuu ambao ni wabaya, Kuhusu hii video mimi nilisema kitambo kwa nini CDM wamenyamaza kimya muda wote huu, la pili mbona idara za upelelezi hawakuchukua hatua yeyote mpaka leo. Ina maana chanzo cha hii VIDEO inaweza kuwa ni CDM wenyewe, ikiwa ni mbinu mojawapo yakuwa sambaratisha wale wasio takiwa CDM. au ni mchezo wa lile kundi lingine linalo pigana vita na kina SLAA au ni Group ya MBOWE. Kwani kinacho shangaza ni ukimya wao kwenye jambo la hatari kama hili, na ile migogoro kati ya wan CDM ( KIKULACHO KI NGUONI MWAKO)
 

sO DEFINETLY IF RELEASED AND IT PASSES ALL THE TESTS, THAN THIS WILL BE VERY TRUE THAT CDM IS CONSPIRING TO DO EVIL IN OUR PEACEFUL NATION. MKUU MBONA TUTAMALIZWA HIVYO, INABIDII WATU WAJITAYARISHE KWANZA KUHAKIKISHA VIDEO IS A CONCOCTION OF LIES FROM CCM, AND IF IT PROVES DIFFERENTLY WHAT WILL BE THE PLAN TO SAVE CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…