Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,263
- 40,451
Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu.
Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia.
Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa UVCCM.
Utalii umedorora. Raia wameanza kutoa fedha zao benk kwa hofu.
Kunyooshewa vidole vya kukusolewa na mataifa rafiki na jumuiya mbalimbali za kimataiafa.
Sasa hivi watanganyika wanataka taifa lao. Tume ya uchaguzi inaonekana ni genge majangili.
Mahakama haziaminiki hazifanyi kwa uhuru. Zimekuwa chombo cha kuhalalisha uovu na ukandamizaji.
Bunge limekua ni kilinge Cha walarushwa na wezi wa rasilimali za taifà