Ujanja wa CHADEMA ni upi?Cdm hawana siasa hizo za kishamba.
Hawana ujanja wowote, ila hawaendekezi hizo siasa za kishamba.Ujanja wa CHADEMA ni upi?
namuona Mama wa UWT ( Usalama wa Taifa) wa CCMMimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?
Hakuna nchi Africa hata vyama tawala vinaweza fanya huu ujinga kwa nini lakini ni Tanzania pekee?
CCM ndio ma engineer wa kuuza viwanja ya wazi vya michezo ambayo vilipaswa kukuza vipaji na sasa ndio wako front line kuingiza siasa kwenye Club, najua hata zile million sijui ngapi ni kampeni.
View attachment 2646373View attachment 2646374
Meanayanga ndio huyo huyo mwanaccm.Mo ni CCM kwa hiyo Simba mali ya CCMMimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?
Hakuna nchi Africa hata vyama tawala vinaweza fanya huu ujinga kwa nini lakini ni Tanzania pekee?
CCM ndio ma engineer wa kuuza viwanja ya wazi vya michezo ambayo vilipaswa kukuza vipaji na sasa ndio wako front line kuingiza siasa kwenye Club, najua hata zile million sijui ngapi ni kampeni.
View attachment 2646373View attachment 2646374
mbona unataja wakomunist kwa sisi ni wakomunist?tuacheni yanga tupate raha zetu tuondoe stress kama wewe ni simba kaa na stress zake.Wibu au ni ujinga tafuta kokote kule bata kwenye nchi za kikomonist kama kuna huu ujinga, huu unafanyika kwa Taifa la wajinga wasio jitambua
Duniani kote, Serikali ni full control kwa kila kitu ndani ya nchi husika. Serikali hutunga sheria, sera, miongozo na kanuni kusimamia maeneo tofauti (deligation).Mimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?