We kuku mzeeeMimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?
Hakuna nchi Africa hata vyama tawala vinaweza fanya huu ujinga kwa nini lakini ni Tanzania pekee?
CCM ndio ma engineer wa kuuza viwanja ya wazi vya michezo ambayo vilipaswa kukuza vipaji na sasa ndio wako front line kuingiza siasa kwenye Club, najua hata zile million sijui ngapi ni kampeni.
View attachment 2646373View attachment 2646374
Hii asili imeanza sasa hivi?Unashangaa nini mkuu!!?
Dar young africans unajua maana yake!!?
Asili yake!!?
Lengo lake!!?
Hatwezi acha asili Mkuu!
MENGINE yaache!!!
Haya magonjwa mengine ya presha mnajitakia tu wenyewe kwa kweli. Mimi niko zangu kijijini huku, hata siumizi kabisa kichwa kwa hayo mapokezi yenu.Nchi ina upuuzi sana hii
Acha upuuzi, kudandia mambo ya mpira kwa chama cha siasa na kutumia kama propaganda ni ushamba na upumbafkwani kuna shida gani ulitaka iwe chadema
Kwani shida ni nini hujaieleza? Au rangi za "Young African Club" (Yanga)? Au Rais kutoa ndege?Mimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?
Hakuna nchi Africa hata vyama tawala vinaweza fanya huu ujinga kwa nini lakini ni Tanzania pekee?
CCM ndio ma engineer wa kuuza viwanja ya wazi vya michezo ambayo vilipaswa kukuza vipaji na sasa ndio wako front line kuingiza siasa kwenye Club, najua hata zile million sijui ngapi ni kampeni.
View attachment 2646373View attachment 2646374
Chunguza au Fuatilia CCM au Serikali inapo jiingiza kwenye michezo na ahadi nyingi basi ujuwe mambo hayata fanikiwa.Mimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?
Hakuna nchi Africa hata vyama tawala vinaweza fanya huu ujinga kwa nini lakini ni Tanzania pekee?
CCM ndio ma engineer wa kuuza viwanja ya wazi vya michezo ambayo vilipaswa kukuza vipaji na sasa ndio wako front line kuingiza siasa kwenye Club, najua hata zile million sijui ngapi ni kampeni.
View attachment 2646373View attachment 2646374
Pole. Unashindana na upepo. Nenda kampokee Tundu Lissu upate na tumehuru. Sisi tuachie timu yetu iliyotuletea uhuru.Mimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?
Hakuna nchi Africa hata vyama tawala vinaweza fanya huu ujinga kwa nini lakini ni Tanzania pekee?
CCM ndio ma engineer wa kuuza viwanja ya wazi vya michezo ambayo vilipaswa kukuza vipaji na sasa ndio wako front line kuingiza siasa kwenye Club, najua hata zile million sijui ngapi ni kampeni.
View attachment 2646373View attachment 2646374
Tundu Lisu: Mimi ni Yanga lakini siwezi kuvaa JeziDuh maccm yameshajipenyeza Yangani...hatari sana
Hujafanya uchunguzi umekurupuka tu, usitudanganye na mambo yako ya vijiweniMimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?
Hakuna nchi Africa hata vyama tawala vinaweza fanya huu ujinga kwa nini lakini ni Tanzania pekee?
CCM ndio ma engineer wa kuuza viwanja ya wazi vya michezo ambayo vilipaswa kukuza vipaji na sasa ndio wako front line kuingiza siasa kwenye Club, najua hata zile million sijui ngapi ni kampeni.
View attachment 2646373View attachment 2646374
Unataka upokelewe wewe unapotokea kwenye mchepukoNchi ina upuuzi sana hii
Umena hapo ni jezi za Yanga? Acha ujingaKwani shida ni nini hujaieleza? Au rangi za "Young African Club" (Yanga)? Au Rais kutoa ndege?
Kumbuka Simba na Yanga kwenye mashindano ya CAF walipewa fedha kwa kila goli walilofunga.
Simba iliishia robo fainali kwa kutolewa kwa mikwaju ya penati nyumbani kwa Waydad, timu ambayo inacheza fainali. Iwapo itakuwa bingwa timu za Tz zitakuwa zimetolewa na Mabingwa.
Hivyo basi, tumepiga hatua kubwa ya mchezo wa soka nchini na Serikali inapaswa kupongezwa na siyo CCM.
yanga hapo wameloga timu! Isiposhuka daraja basi ni alama za mwishon! Waulizen kina mallow, juma necha na bongo movie walivyojihusisha na ccm! Nin kimewapata!Duh maccm yameshajipenyeza Yangani...hatari sana
Hapo umeongea kweli lkn ccm ni valogi sana! Bhangosha!Kwani shida ni nini hujaieleza? Au rangi za "Young African Club" (Yanga)? Au Rais kutoa ndege?
Kumbuka Simba na Yanga kwenye mashindano ya CAF walipewa fedha kwa kila goli walilofunga.
Simba iliishia robo fainali kwa kutolewa kwa mikwaju ya penati nyumbani kwa Waydad, timu ambayo inacheza fainali. Iwapo itakuwa bingwa timu za Tz zitakuwa zimetolewa na Mabingwa.
Hivyo basi, tumepiga hatua kubwa ya mchezo wa soka nchini na Serikali inapaswa kupongezwa na siyo CCM.
Kwahyo tunatakiwa Kila kitu tufanye kwakuwa fulani kafanya?Wibu au ni ujinga tafuta kokote kule bata kwenye nchi za kikomonist kama kuna huu ujinga, huu unafanyika kwa Taifa la wajinga wasio jitambua
Kupongeza si kosa, kosa ni kupeleka mabendera kwenye hafla isiyohusiana na siasa, jambo lile sio sahihi. Kwani kwenye hafla zenu bendera haziwatoshi? Mlichokifanya ni sawa na kwenda kuuza kitimoto kwenye baraza la Iddy.Mbona mbowe ni YANGA ..usemi nae kaingiza YANGA kwenye siasa. Au kwakuwa hajaenda kupokea.
chadema si ipo kwenye operesheni 255 nani kawazuia wasije kuwapokea yanga