Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,273
- 4,545
baskeli wamesamehe ila pikipiki wana kazi nazo 2030Wasisahau na baiskel zao sijui matololi nayo wachukue.
Wachukue tu baiskel zenyewe mchina aliyewauzia aliwapiga ngumi nzitobaskeli wamesamehe ila pikipiki wana kazi nazo 2030
Me mwenyewe ndo nimebaki natumbua macho hapaKumbe hawakupewa waliazimwa?
eeeh, mama anatak pikipik zakeKuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama,
Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa kutumia mfumo wa mtandao kwa kile walichodai pikipiki zimeondolewa kifaa hicho na nyingi kubadilishwa rangi na kutolewa baadhi ya vitu.
Sasa wameamua kuzifuatilia mtaa kwa mtaa Nyumba kwa nyumba vilio vya makada wa chama vimetamalaki huko.
Aidha watu hao wamewataka watu wote waliokabidhiwa pikipiki hizo kuzirejesha office za CCM zilipo karibu na maeneo hayo kuepusha usumbufu wa kuzifuatilia kwani watazikamata tu sababu wale wale wote waliopewa wanajulikana.
Kwani hawakuwa na orodha ya waliogawiwa kwa ngazi za serikali za mitaa? Ingekuwa rahisi kuwapata kwa mfumo huoKuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama,
Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa kutumia mfumo wa mtandao kwa kile walichodai pikipiki zimeondolewa kifaa hicho na nyingi kubadilishwa rangi na kutolewa baadhi ya vitu.
Sasa wameamua kuzifuatilia mtaa kwa mtaa Nyumba kwa nyumba vilio vya makada wa chama vimetamalaki huko.
Aidha watu hao wamewataka watu wote waliokabidhiwa pikipiki hizo kuzirejesha office za CCM zilipo karibu na maeneo hayo kuepusha usumbufu wa kuzifuatilia kwani watazikamata tu sababu wale wale wote waliopewa wanajulikana.
Tena wakitangaza kuchukua baiskeli watarudishiwa chap. Maana watu wamezificha ndani tuWachukue tu baiskel zenyewe mchina aliyewauzia aliwapiga ngumi nzito