CCM wakumbukeni wasanii walioshiriki kampeni

isidingo 1961

Senior Member
Nov 9, 2015
106
13
Ni imani yangu Chama cha Mapinduzi CCM kitawafikiria japo vyeo vya Ukuu Wa Wilaya kwa Wasanii wetu walioshiriki Kampeni mwaka 2015. Wasanii hao watafarijika sana Na chama chao kuwapatia nafasi hizo.
 
Naunga mkono hoja sasa kwa huyu mzee wetu kamanda wa hapa kazi tu sidhani kama wana nafasi labda angekuwepo yule wa kutabasamu hovyo hata msibani
 
Ni imani yangu Chama cha Mapinduzi CCM kitawafikiria japo vyeo vya Ukuu Wa Wilaya kwa Wasanii wetu walioshiriki Kampeni mwaka 2015. Wasanii hao watafarijika sana Na chama chao kuwapatia nafasi hizo.

Nani huyo kateremsha hadhi ya ukuu wa wilaya mpaka kuwa position ya wasanii?
 
Teh teh...
Ndio maana lowasa alisema elimu elimu...kwan huyu jamaa tatizo lake ni elimu nauelewa mdogo juu ya ukuu wa wilaya
 
Kutumia vyeo vya ofisi za umma kama hisani ndo kumetufikisha hapa. Yaani kunengua viuno na kuonyesha watu uchi ndo wapewe vyeo? Ovyo kabisa mleta mada
 
Dhaaa hii nchi kuna watu ubongo zao zimelala sana kwa staili tutaendelea kuongozwa na maccm mbaka mwisho wa dunia
 
Ni imani yangu Chama cha Mapinduzi CCM kitawafikiria japo vyeo vya Ukuu Wa Wilaya kwa Wasanii wetu walioshiriki Kampeni mwaka 2015. Wasanii hao watafarijika sana Na chama chao kuwapatia nafasi hizo.

walikwambia wanataka ukuu wa wilaya? Dume zima unakuwa mmbea utavishwa shanga!
 
mabilioni yote ya hazina waliyokomba bado unataka waendelee kupewa ulaji huna aibu zaidi ya bilioni 100 wamekomba bado unataka waendelee kula unalaana wewe
 
Wao walifanya biashara na malipo walichukua, hakuna kujuana tena. Ukinunua Shit paper unatumia na kuflash ikaozee mbali.
 
Kuna wengine wanamiliki hadi Magari ya kifahari sababu ya hizo kampeni!
 
Ni imani yangu Chama cha Mapinduzi CCM kitawafikiria japo vyeo vya Ukuu Wa Wilaya kwa Wasanii wetu walioshiriki Kampeni mwaka 2015. Wasanii hao watafarijika sana Na chama chao kuwapatia nafasi hizo.

Wewe ni yupi? Aunt Ezekiel au Temba!
 
Wameanza na ubunge viti maalum kumnyima Yule bongo muvi wewe ulitaka wakumbukwe vp
 
Back
Top Bottom