CCM wakishirikiana na Jeshi la Polisi Tanga wamewanunua ndugu wa Marehemu Ally

Nawaomba CDM Wawasiliane na Ndugu wa karibu Kabisa Kama ndio Msaada wa Kumsafirisha marehemu Umeshapatikana wao watoe Rambi Rambi Taslimu!! Kwa ndugu Wahusika Kabisa Either Tanga kwani Najua Huko Morogoro Huyo Marehemu alikuwa anatafuta Maisha Tu!! Nilijua suala la Kusafirisha mwili wa marehemu na kushiriki lingekuwa Gumu kwani kuna expert Hapo Morogoro ambaye Misaada yake ni kusaidia Kuzika Badala ya kutoa Madawa Hospitalini na Kuwazuia Polisi waaache kushiriki Mauaji!!!! Ni muhimu wamtumie Mwenyekiti au Viongozi waliopo Tanga Kuanza Mawasiliano na Ndugu wa Marehemu!!
 
Tatizo hata kwenye kuongoza chama na serikali wanatumia propaganda. Kipimo rahisi unaweza tazama ahadi tulizopewa tangu 2005 na utekelezaji wake. Sasa hata kwenye jambo hili tena?
 
Kitendo kilichofanywa na ndugu hao wa marehemu kula njama na wauaji ni sawa na kunywa damu ya ndugu yao huyo.

Kwa jinsi ninavyowajua CCM hapo lazima wamekata pochi kwa shemeji mtu ili wajikoshe kwa zambi sao, lakini ni vizuri CCM waachiwe funeral activities na CDM nao wahudhurie kwenye msiba kutoa rambi rambi na kumwaga shule kama desturi mpaka kieleweke
 
Kama ni kweli sio ajabu kwa CCM na polisi kufanya hayo lakini ukweli utabaki palepale kwamba wameua kwa kushirikiana pia.
 
Dr. Slaa alijua na ndio maana akaongea na waandishi wa habari mapema kabisa kuhusu maongezi yake na wanafamilia. Huo mchezo tuliujua, Dr. sio mchezo bana.
 
Siku hizi mpaka msiba ni Dili-Kama CDM wamesema watagaramia laki Saba ccm wakasema watagaramia million Saba huoni gape kubwa hapo?? Mfiwa kachagua kondoo alionona ila it's shameless kupiga Dili maiti jamani
 
Hebu wanamageuzi wote tuliopo humu ndani tuseme ni strategies gani ambazo tutazitumia kudhibiti propaganda kama hizi koz zimeshazidi sasa kwa chama chetu, jaman hamna hata namna yeyote tutakayoitumia kukomesha tabia hizi na za wakina Nape kwani zinaboa na zinahudhi sana.
 
Dr. Slaa alijua na ndio maana akaongea na waandishi wa habari mapema kabisa kuhusu maongezi yake na wanafamilia. Huo mchezo tuliujua, Dr. sio mchezo bana.
naona sasa amekua mtabiri pia.huyu kweli ni mtume.

Popo bawaaaaaaa
 
Waandishi wa habari walipigiwa na Kamanda wa Polisi anaitwa Mlambo na kupelekwa na gari la polisi hadi msibani na kukutanishwa na Shemeji wa Marehemu Bw Ally ambeye ndie aliishutumu CHADEMA. Mwanzoni viongozi wa CHADEMA walipoenda kuzungumza na familia ya Marehemu juu ya namna ya kushirikiana katika msiba huu, Shemeji huyo alinukuliwa akisema anashangaa CHADEMA kuwafuatafuata wakati ndugu yake kwanza hakuwa CHADEMA

Jamani jamani jamani, anzeni kuchunguza lugha ya RPC wa Morogoro kuhusu kutokufahamu kitu gani kimesababisha kifo hiki halafu rudia maneno aliyosema Shigela jana ya yeye kushangaa kwa nini Polisi hawakuwapiga waliovaa uniform za CDM, pia angalia Nchimbi maneno aliyosema huku akiyachambua sana halafu unganisha na maneno hayo kwenye red....then utapata matokeo ya tume ya IGP Mapemaaaaaaaaaaaaaaaa,

Hiii huenda Ramadhani wa Ulimboka katumika tena Morogoro..mpaka sasa naamini imepangwa na muuaji atakayeletwa anaweza kuwa ni type ile ya ulimboka ila tu this time akawa ni mwana CDM
 
CDM walitaka kusaidia shuguli za mazishi kwa vile tu huyo kijana aliuawa kwenye mkutano/maandamano yaliyokuwa organized na CDM sasa kama ndugu wamelaghaiwa na CCM fine acha wakazike kwani nani anajua kwa dhati kuwa marehemu alikuwa mwanachama au mpenzi wa CDM?? inashangaza watu mnataka kutumia hata vifo na misiba kisiasa!??
 
CCM bwana hawana kazi yakufanya. Na hiyo ndio laana yao wanayo iendeleza
 
Kitafahamika tu!

Maskini shemeji yake Ally alikutana na magumashi,kwa CDM suala la kuzika kwao sio issue.Walichotaka ni picha ya tukio la mwananchi kupigwa risasi na M4C ikawinde wengine Iringa.
 
CDM walitaka kusaidia shuguli za mazishi kwa vile tu huyo kijana aliuawa kwenye mkutano/maandamano yaliyokuwa organized na CDM sasa kama ndugu wamelaghaiwa na CCM fine acha wakazike kwani nani anajua kwa dhati kuwa marehemu alikuwa mwanachama au mpenzi wa CDM?? inashangaza watu mnataka kutumia hata vifo na misiba kisiasa!??
Ila wale wa Arusha mlikuwa na uhakika ni wakereketwa wa CDM? basi sasa ndio mfahamu kuwa maandamano yenu ni haramu kwa kuwa mnahusisha na wasiokuwepo.
 
Huo ndio utoto wa CCM na kila mtu anajua kabisa huu unao fanyika ni utoto.
 
Jamani hiyo ni maiti tu hatasema. why all those efforts. watanzania wanaona
 
Back
Top Bottom