Sidhani kama ni kosa kumshauri mtu kupimwa akili maana kuna wakati akili inachoka kwa umri, majukumu au matatizo mbalimbali.
Uhuru ni gazeti la chama, chama ambacho kimetawala muda wote wa uhai wa Tanganyika na Tanzania, nawashangaa wanapochekelea majipu kutumbuliwa.
haingii akilini kwao kuchekelea uozo huu serikalini, walipaswa kutuomba radhi wananchi kwa kushindwa kusimamia rasilimali za umma kwa miaka yote hii!
Nimesikitishwa na uandishi wa uhuru na ninadhani bado hawajaelewa kazi zao kama chombo cha habari cha chama dola!