Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 449
Wakuu heshima mbele.
Ninaleta habari kutoka katika uwanja wa mapambano kule Igunga ambako CCM, CHADEMA na CUF wamekwishaanza mchakato wa kulitwaa jimbo kila mmoja kwa nmna yake.
Taarifa zilizotolewa leo hii asubuhi ya saa 4 ni kwamba mbunge mmoja wa CCM kutoka katika mkoa wa Singida wilaya ya Iramba ameruka kiunzi cha maafisa wa TAKUKURU kiaina baada ya kukamatwa live wakigawa rushwa kwa wapiga kura huko Igunga.
Mchezo ulikuwa ukifuatiliwa kwa karibu sana na makachero wa CHADEMA ambako siri ya eneo la tukio ilifahamika na hivyo mtego kuandaliwa mapema. Taarifa za kiinteligensia ziliwafikia makamanda wa CHADEMA kuhusu uwezekano wa kumkamata Mhe. Mbunge huyo na hivyo mbinu za kumweka mkononi kuwekwa.
TAKUKURU walipofika eneo la tukio waliwachukua wote waliohusika bila kumkamata Mhe. mbunge. Hata hivyo kikosi cha kufuatilia nyendo za watoa rushwa wa CCM kiko makini sana. Na kwa hakika pamoja na kulindwa sana lazima watashikwa.
Tutaendelea kujuzana
anaitwa mwigulu nchemba, na rushwa itampeleka pabaya, kama si duniani hata mbinguni.
Watani zangu wamasai wana utaratibu kwamba kabla ya kutahiriwa na kuwa morani lazima kuiba ng'ombe ama kuua simba.
Sasa naona magamba nao ili uweze kuaminiwa na chama lazima utoe rushwa. Kwa hali kama hii, kama mwigulu naye anagawa rushwa mchana kweupe basi si ajabu kwa uchumi wa nchi kudorora kila mwaka kwa kuwatumia ma economists wa aina ya mwigulu!

Ufisadi ulizaliwa sisiemu na unalelewa na sisiemu na unazalia sisiemu na utakufa na sisiemu..
Mkuu umenikumbusha mbali kwenye haya matani..nilisikia kuhusu coin, sasa haya ya kudondosha mkasi ni mapya..ebu tufafanulieTeh teh teh! Watani zangu wachagga wakita kujua kama mtoto aliyezaliwa na mama hospitalini ni mchagga wanadondosha hata mkasi. Wakiona mtoto kashtuka wanasema wa kwao. Asiposhtuka wanasema huyu siyo mangi yesu!
Wakuu heshima mbele.
Ninaleta habari kutoka katika uwanja wa mapambano kule Igunga ambako CCM, CHADEMA na CUF wamekwishaanza mchakato wa kulitwaa jimbo kila mmoja kwa nmna yake.
Taarifa zilizotolewa leo hii asubuhi ya saa 4 ni kwamba mbunge mmoja wa CCM kutoka katika mkoa wa Singida wilaya ya Iramba ameruka kiunzi cha maafisa wa TAKUKURU kiaina baada ya kukamatwa live wakigawa rushwa kwa wapiga kura huko Igunga.
Mchezo ulikuwa ukifuatiliwa kwa karibu sana na makachero wa CHADEMA ambako siri ya eneo la tukio ilifahamika na hivyo mtego kuandaliwa mapema. Taarifa za kiinteligensia ziliwafikia makamanda wa CHADEMA kuhusu uwezekano wa kumkamata Mhe. Mbunge huyo na hivyo mbinu za kumweka mkononi kuwekwa.
TAKUKURU walipofika eneo la tukio waliwachukua wote waliohusika bila kumkamata Mhe. mbunge. Hata hivyo kikosi cha kufuatilia nyendo za watoa rushwa wa CCM kiko makini sana. Na kwa hakika pamoja na kulindwa sana lazima watashikwa.
Tutaendelea kujuzana
Nadhani wameaanza....ukiwauliza watakwambia wanagawa takrima....nadhani cha msingi ni kuhakikisha tunampata mmoja kwa ajili ya kuonyesha mfano.....

Wakuu heshima mbele.

Ninaleta habari kutoka katika uwanja wa mapambano kule Igunga ambako CCM, CHADEMA na CUF wamekwishaanza mchakato wa kulitwaa jimbo kila mmoja kwa nmna yake.

Taarifa zilizotolewa leo hii asubuhi ya saa 4 ni kwamba mbunge mmoja wa CCM kutoka katika mkoa wa Singida wilaya ya Iramba ameruka kiunzi cha maafisa wa TAKUKURU kiaina baada ya kukamatwa live wakigawa rushwa kwa wapiga kura huko Igunga.

Mchezo ulikuwa ukifuatiliwa kwa karibu sana na makachero wa CHADEMA ambako siri ya eneo la tukio ilifahamika na hivyo mtego kuandaliwa mapema. Taarifa za kiinteligensia ziliwafikia makamanda wa CHADEMA kuhusu uwezekano wa kumkamata Mhe. Mbunge huyo na hivyo mbinu za kumweka mkononi kuwekwa.

TAKUKURU walipofika eneo la tukio waliwachukua wote waliohusika bila kumkamata Mhe. mbunge. Hata hivyo kikosi cha kufuatilia nyendo za watoa rushwa wa CCM kiko makini sana. Na kwa hakika pamoja na kulindwa sana lazima watashikwa.

Tutaendelea kujuzana

Mliopo Igunga vip michakato.