Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,867
- 13,846
Hapa ndo kwenye tatizo,maana hata kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka jana wengi walikamatwa akiwemo mke wa 6 lakini hamna chochote mpaka wa leo.<br />
<br />
Mkuu takukuru si ndio hao hao ccm hakuna lolote likalofanyika na takukuru