CCM waingia mitini, kesi ya Lissu yasimama

Wakitumia Mbinu hiyo ya kupunguza nguvu za wabunge wa cdm ujuwe CCM inaenda kufa kifo cha kawaida yaani Natural dealth hakuna mwenye hati miliki ya kutawala nchi hii kila mtu nafasi ni sawa na Nionavyo mimi ccm wataleta fujo katika nchi hii kwa sababu ya kutokubali ya kwamba wameshindwa kutawala ila wanaendekeza ufisadi tu.
Mbinu ya kuwavua ubunge hasa upinzani kwao itawaumiza
 
Hata Jaji mwenye mpumbavu, anajuafika kuwa hapo hakuna kesi lakini anaruhusu Kodi za Watanzania zitumike vibaya. Kama angekuwa Jaji wenye akili timamu angeshaitupilia mbalihiyo Kesi tangu mwezi uliopita.
 
Hivi mtu akikosekana mahakamani hakimu anatuma watu wa kumtafuta nje? Je Lissu ndio angekuwa hajaonekana huko mahakamani bila taarifa si angepelekwa ndani kwa kudharau mahakama. CCM na vibaraka wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hakimu mwenyewe mbumbumbu wa sheria unadhani atafanya nn hapo, cyo kama ya mahakama kutuma mtu kumtazama mtu mwnvne nje, ila kwa sababu ya ujinga wake hakimu, acha tumwone...
 
Kweli magamba ni takataka hawajui wanalofanya unawezaje kuwa mlalamikaji mahakamani na bado uchelewe tena kufika...... Kama ndinga inawashinda wakae mbali kabisa waache kutumia wananchi wasiona muelekeo.
 
Hata wakiwatoa wote tuna uhakika 2015 kuwarudisha makamanda wetu wote tena na nyongeza juu na chenji juu

Kwani wakati wanaingia 2015 walikuwa wameishaifanyia nini majimbo yao?hivyo hivyo hata kama watakuwa hawajafanya lolote kwa vile tunawaamini,basi isiwe tabu kwani mjengoni watarudi tena kwa kusindikizwa
 
Watu wa singida mnaboa sana, mnaanzisha mada halafu mnashindwa kuimaliza. Hamjatwambia mwisho wa huyo jaji aliyetoka kwenda kuwatafuta ccm mwisho wake ulikuwa nini. Jifunzeni kwa wenzenu wa Arusha.
 
Hakimu mwenyewe mbumbumbu wa sheria unadhani atafanya nn hapo, cyo kama ya mahakama kutuma mtu kumtazama mtu mwnvne nje, ila kwa sababu ya ujinga wake hakimu, acha tumwone...

Anawabeba ccm hapo,hivi unafikiri ingekuwa ni kwa upande Wa Chadema si hukumu ingeshakuwa imetolewa!!??.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom