CCM waingia mitini, kesi ya Lissu yasimama

CCM waingia mitini, kesi ya Lissu yasimama

MADORO

Senior Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
198
Reaction score
117
Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia huku na kule bila kuwaona walalamikaji au hata mawakili wao. Tutaendelea kuwajuza. Ngoja nione uamuzi ataoutoa jaji.
 
Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia huku na kule bila kuwaona walalamikaji au hata mawakili wao. Tutaendelea kuwajuza. Ngoja nione uamuzi ataoutoa jaji.[/QUOTE

mpango mzima ccm hawana jipya zaidi ya kupoteza muda ndiyo maana nchi haiendelei bana
 
hao magamba mbona wanakua wajinga kiasi hicho hawajui kuna watu wanakufa na njaa hawana hela wanazimalizia kwenye uchguzi
 
Ukweli hawa jamaa wanatupeleka kubaya sana!! Hawana huruma hata kidogo kwenye kutumia kodi zetu hata pasipo sababu!!! nadhan umefika wakati wa kuweka record ya haya yote,ili muda ukomboz ukipatikana,waitwe na kujibu mashtaka bila kuwaonea aibu! acha walikoroge,watalinywa!!!!
 
Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia huku na kule bila kuwaona walalamikaji au hata mawakili wao. Tutaendelea kuwajuza. Ngoja nione uamuzi ataoutoa jaji.

Jana ulituacha pending, nadhani hata leo ndo umetuacha hivyo hivyo!
Mbona sisi huku A town tunawajuza mpaka kengele ya mwisho kunani huko Singida jama?
MADORO na Sango tunawategemea kwa updates plse!
 
siku zote njia ya muongo ni fupi na ni dhahiri kwa hali hiyo watashindwa na Kamanda Lisu ataendelea kusimama imara MUNGU IBARIKI TZ.MUNGU IBARIKI CDM na Pia isamehe Sisiem.we are at the point where no one can hold us from going on forward.Piiiiiiiiiipoooooosssssss together we will!
 
Hivi mtu akikosekana mahakamani hakimu anatuma watu wa kumtafuta nje? Je Lissu ndio angekuwa hajaonekana huko mahakamani bila taarifa si angepelekwa ndani kwa kudharau mahakama. CCM na vibaraka wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia huku na kule bila kuwaona walalamikaji au hata mawakili wao. Tutaendelea kuwajuza. Ngoja nione uamuzi ataoutoa jaji.

Kila Mtanzania mwenye akili timamu kwa sasa anajua kabisa nini kinachoendelea KUHUSU KESI BANDIA ZILIZOFUNGULIWA NA WANA-CCM dhidi ya Wabunge wa Upinzani hususani wa CHADEMA. Tumeona kilichotokea Arusha juzi baada ya Jaji kutoa hukumu yenye kuacha shaka kubwa na kudhihirika kuwa HUKUMU HIYO ILIKUWA NA MAELEKEZO TOKA JUU!!

Mpaka sasa kesi za Wabunge wa CHADEMA zilizoko Mahakamani ni:

  1. Jimbo la Arusha Mjini kwa Mhe. G.Lema ambaye tayari amevuliwa Ubunge.
  2. Jimbo la Singida Mash kwa Mhe.Tundu Lissu bado iko Mahakamani.
  3. Jimbo la Ubungo kwa Mhe.J.Mnyika bado iko Mahakamani.
  4. Jimbo la Meatu kwa Mhe. Opulukwa, Meshack Jeremiah bado iko Mahakamani.

Kuna habari za kuaminika kuwa kuna kesi nyingi zitafunguliwa dhidi ya Wabunge wa CHADEMA ili tu kuwafanya wawe busy all the time na wa sipate muda wa kuwatumikia Watanzania na wasiweze kupanga mikakati ya kuibana Serikali ya Majambazi Bungeni na nje ya bunge. Huo ndo mpango uliopo. Bado kuna kesi hii ya Arusha dhidi ya Viongozi wa CDM kwa tuhuma za Maandamano bila kibali. Wamo Dr. Slaa,Mhe. Mbowe,Mhe.Ndesamburo na wengineo.

CHADEMA kaeni macho na hao wahuni wa CCM wanaotaka kuwapotezea muda wenu Mahakamani na mwisho wa sikuu muonekana kuwa mlishindwa kuwahudumia Watanzania.
 
siku zote njia ya muongo ni fupi na ni dhahiri kwa hali hiyo watashindwa na Kamanda Lisu ataendelea kusimama imara MUNGU IBARIKI TZ.MUNGU IBARIKI CDM na Pia isamehe Sisiem.we are at the point where no one can hold us from going on forward.Piiiiiiiiiipoooooosssssss together we will!
Amina amina,dua letu limepokelewa.
 
Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia huku na kule bila kuwaona walalamikaji au hata mawakili wao. Tutaendelea kuwajuza. Ngoja nione uamuzi ataoutoa jaji.
Duhh, kulikoni, hamna mshiko nini?
 
Maagizo mengine ya IKULU yatawaadhiri wengi ,Mpaka Jaji anaenda kutafuta mashaidi hii ni kali katika historia ya mahakama ,haya bwana mh Jaji endeleza vituko si ajabu ukapewa uanasheria mkuu wa serikali ha ha ha CCM kweli wana mtindio wa uzi wa buibui
 
Hapana! wanapewa tution sehemu fulani baadaye watakuja tu., sio wameingia mitini kama unavyodai.Ngoma inawaelemea walidhani mahakamani ni kama club ya pombe za kienyeji.
 
Msimsahau Dr Mbasa waziri Kivuli Afya Mbunge jimbo la Biharamulo, naye yuko mbioni kuvuliwa ubunge si haba kwa upande wa CCM wakipunguza kama kumi hivi na viongozi wao wa kitaifa kuwabambikia kesi kama mia moja hivi basi kazi ya ujenzi wa chama cha chadema itasimama, kwa maoni yao itakuwa imeshatimia,wanatamba kabisa kwao hiyo ni sifa
Wananchi tunakarata ya mwisho jee tupo tupo tu tukiona nchi yetu inavyobemendwa kama mtoto mchanga
 
Back
Top Bottom