Kile ambacho tunalalamika kila siku na kutoa ushahidi lakini serikali inapuuza.
Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mbunge wa jimbo la Segerea na Naibu waziri Makongoro Mahanga wamefanyia mkutano kwenye mlango wa kituo cha Polisi kana kwamba hakuna viwanja vingine.
Polisi wakashindwa kufanya kazi zao magamba yamejaa mlangoni.
Hivi CHADEMA wangefanya vile mlangoni mwa polisi ingekuwaje? hebu wadau angalieni Picha mseme wenyewe