ccm inakufa polepole lakini kwa uhakika.*
Arusha watu wengi wao wamesoma na wanaona mbali hasa kwa watoto na wajukuu wao.*
Mikoa mingine HASA DAR ina majuha kibao ambayo yanaangalia maisha ya leo tu,KESHO ITAJIJUA YENYEWE.
Kata ya sombetini itabaki CCM. Wanasombetini wengi hawataki hata kuisikia Chadema. Hasa baada ya kusalitiwa na Ndg.Mawazo, aliyehamia Chadema kwa sababu ya kutafuta maslahi binafsi.
kamanda mawazo atawashika tena kupitia CDM, ccm walishakufa siku nyingi arusha, ngoja muone 2015 namna ambavyo yale yaliyotokea moshi yatatokea arusha cozi asilimia 85 itakuwa madiwani wa CDM
Kata ya sombetini itabaki CCM. Wanasombetini wengi hawataki hata kuisikia Chadema. Hasa baada ya kusalitiwa na Ndg.Mawazo, aliyehamia Chadema kwa sababu ya kutafuta maslahi binafsi.
Kata ya sombetini itabaki CCM. Wanasombetini wengi hawataki hata kuisikia Chadema. Hasa baada ya kusalitiwa na Ndg.Mawazo, aliyehamia Chadema kwa sababu ya kutafuta maslahi binafsi.
Vijana wengi wanaosapoti chadema sasa ni sababu ya kudanganywa na Slaa kwamba gongo ikihalalishwa watapata ajira, baada ya gongo kuwaathiri akili zao na maisha yao.........ni ngumu watu hao kuwasapoti CDM 2015.Ccm mkoa wa arusha hasa jimbo la arusha mjini, wanahaha kutafuta cha kufanya hasa kipindi cha uchaguz mdogo.katika uchaguz uliotangazwa wa madiwan kwa kata zilizowazi kote nchini mwakanin,ccm mkoa wa Arusha wanahaha kutafuta mgombea wa kushindana na upinzan hasa chadema katika kata ya sombetini kwan wengi wanaogopa kuaibika kama ile 4 bila.
Nmebahatika kutembelea kata hyo ya sombetin nakubain kuwa asilimia kubwa ya wananchi hawatak kusikia ccm,huku wagombea wengi wakitaka kujinad chadema.ofisi za ccm nyngi zmefungw.,mfn kule ngusero nje kdg na jiji bendera za chadema zipo kwa wingi na kila vikund vya watu 10 ukiwauliuza vp siasa huku, 9 wanakuambia siasa ni chadema tu huku mmjoa akiitaja ccm..
Ccm mnajiaribia wenyew kadr manavowafanyia vituko zaid upinzn na kukaa muda mrefu kwa kuiba pesa za wananchi
Vijana wengi wanaosapoti chadema sasa ni sababu ya kudanganywa na Slaa kwamba gongo ikihalalishwa watapata ajira, baada ya gongo kuwaathiri akili zao na maisha yao.........ni ngumu watu hao kuwasapoti CDM 2015.
Sawa ndugu ila Dr.Slaa aliahihidi wananchi kwenye ziara ya ''kuimarisha'' chama huko kasulu wiki iliyopita kwamba moja ya vipaumbele vya CDM ikishika dola itahalalisha gongo ili kukuza pato la taifa na kukuza ajira...!Vipi haufuatilii ziara ya katibu mkuu au wewe nawe huamini katika hilo?ndugu, jaribu kufikiri japo kidogo kabla hujachangia hoja yoyote na usiwe na hasira wala jazba! Aliyekuambia Dr.Slaa anawaongopea watu kuwa gongo itahalalishwa ni nani na wapi alisemea?
Kwa taarifa cdm haina walevi na ndo maana hatuwaaliki wapiga kura kwenye vilabu vya mataputapu kama wafanyavyo ccm. Fikiri tena namna ya kujibu hoja.
Sawa ndugu ila Dr.Slaa aliahihidi wananchi kwenye ziara ya ''kuimarisha'' chama huko kasulu wiki iliyopita kwamba moja ya vipaumbele vya CDM ikishika dola itahalalisha gongo ili kukuza pato la taifa na kukuza ajira...!Vipi haufuatilii ziara ya katibu mkuu au wewe nawe huamini katika hilo?
Mkuu hupendi ukweli eeh!!acha povu, hiyo ni sera ya Dr.Slaa kwani na wewe huipendi? watu kibao wa CDM humu JF wanaipenda angalia usituhumiwe kwa usaliti na uhaini mkuu inabidi ukubaliane na Ilani na Katiba ya Chama.Wewe umesahau kumeza dozi
Mkishawalewesha gongo watawapa kura na ndo mwisho wa maendeleo yao.