CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Kwan kwenye uchaguzi wa August 12/2018 2018 na Sept 16/2018 CCM iliita bila kupingwa kata ngapi?
 
Huu uamuzi CDM wamechelewa sana kuuchukua, ilibidi hata Monduli, kule kigoma kote wasingeshiriki.......wallah idadi ya wapiga kura ingewaacha na aibu.
Mkuu nikweli kabisa lkn sasa ndiyo safari imeanza rasmi
 
Hiyo unaijua wewe ukitaka anzisha uzi wa hizo chaguzi ulizo zitaja
Kwan kwenye uchaguzi wa August 12/2018 2018 na Sept 16/2018 CCM iliita bila kupingwa kata ngapi?
 
Mmetwa boys na jamaa wa ubeligiji walahi! Chadrama!
Mtatoana macho mwaka huu walahi
 
Hilo hasa ndio litakuwa limepata muarobaini ila kwa wasiyotaka kuisumbua akili basi wanafurahia kama mazuzu tu
Ni bora iwe hivyo, naamini hata zoezi la ununuzi binadamu litakoma sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…