CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Naunga mkono hoja.Hili la mv nyerere nalo litapita.Tutarudi kueñdelea na chaguzi zetu za marudio.
 
Naunga mkono hoja.Hili la mv nyerere nalo litapita.Tutarudi kueñdelea na chaguzi zetu za marudio.
Uchaguzi wa marudio utaendelea kufanyika mpaka katiba yetu itakavyo elekeza vinginevyo!
 
Wewe nafikiri ni mwana freemason maana hata huna ubinadamu kabisa
 
Kama hawashiriki uchaguzi, hawatakuwa na uwakilishi wowote wa wananchi kwenye vyombo vy a maamuzi kama Binge na baraza LA madiwani, hivyo ruzuku automatic ally itakuwa Zero.
Na ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
 
Ndiyo wameanza sasa kuongelea katiba mpyaaa[emoji16][emoji16][emoji16] watanyooka wanadhani cdm ni sawa na tlp?
Hatutaki katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.Chaguzi za marudio ziendelee mpaka kieleweke.
 
Kama hawashiriki uchaguzi, hawatakuwa na uwakilishi wowote wa wananchi kwenye vyombo vy a maamuzi kama Binge na baraza LA madiwani, hivyo ruzuku automatic ally itakuwa Zero.
Cdm haipo kwa ruzuku bali ipo kwa kuwatetea wananchi wanaoteseka kwa utawala wenu wa kiimla
 
Na sasa mtegemee mafuriko ya watu kurudi ccm wengi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Maana chama ndo kinakufa hjvo
 
Akione nani sasa wakati mnao umia ni nyinyi mnao anza kuweweseka?wachana na cdm siyo size yenu pale kumejaa vichwa hatari
Ccm inaweweseka nn wakati kila jimbo akihama mtu mnashindwa uchaguzi
 
Haikuanza leo hiyo mbona mlishaviua vyama vingi kabla ya cdm?lkn cdm ilipoanzishwa tu tukaisambaratisha vibaya ccm yenu
Na sasa mtegemee mafuriko ya watu kurudi ccm wengi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Maana chama ndo kinakufa hjvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…