CCM waaibika Arusha

Mkuu hao maccm mngewaacha wakafanya siasa zao kwenye msiba, ila mlitakiwa kuwa makini na chombo cha rambi rambi, hawakawii kukimbia na rambirambi:llama:

Hawa jamaa mwaka huu watakuwa na ukata hujawahi kuona matajiri walishawekeza kwa EL wamekasirika hawaiungi tena mkono ccm, watakoma mwaka huu.
 
Mkuu hao maccm mngewaacha wakafanya siasa zao kwenye msiba, ila mlitakiwa kuwa makini na chombo cha rambi rambi, hawakawii kukimbia na rambirambi:llama:

Mkuu mungi,mungi,mungi husinivunje mbavu zangu!
 
Sometime " you gat to do what you have to do" . .kama CCM wanafanya kufuru katika ufisadi, ni bora kuwatosa hata kwenye shughuli za kijamii , ili wajue Tanzania tumeamkaa!!!

Asante sana mkuu
 
CCM ni shida. Wakati wa kuomba kura wagombea wengi wanakuwa malaika wakishapata... wanakuwa na jeuri za vijisenti na pesa za mboga
 
Kwa Arusha, hakuna sehemu CCM wanaweza kufanya siasa zaidi ya kwenye misiba. Sasa kama kwenye msiba mmewafukuza dah! Nawaonea huruma....

cha ajabu utawakuta na mikoti yao ya kijani. siyapendi hayajijui tu.
 
CCM ni shida. Wakati wa kuomba kura wagombea wengi wanakuwa malaika wakishapata... wanakuwa na jeuri za vijisenti na pesa za mboga

Best habari ya siku nyingi? Mi sijambo wa afya njema na namshukuru Mungu........maccm Arusha hawana lao!!!!!!!
 
Upuuzi mwingine wa Bavicha. Yaani Bangi, Viroba na Chang'aa. Hata kuandika hawajui. Ukiitwa Bavicha ni tusi baya kuliko k.manina
 
Mkuu hao maccm mngewaacha wakafanya siasa zao kwenye msiba, ila mlitakiwa kuwa makini na chombo cha rambi rambi, hawakawii kukimbia na rambirambi:llama:

Wezi hadi msibani na jambazi sugu lao linataka ubunge arusha,litaangukia pua,hahahaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…