Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Utoto wa CHADEMA hauna mwisho.
Kilichotokea lea kwenye msiba wa balozi wa chadema Themi Arusha CCM wameaibika baada ya ndugu wa marihemu kuwakata ccm na kumtambua mweyekiti wa mtaa themi masha shiriki hm.
Godfrey Mushi na Kinabo Diwani Themi Mashariki. CCM wamekimbia na kuvunjika meno katibu wa CCM amepotea na ajulikani alipo.
Utoto wa CHADEMA hauna mwisho.
Mbona unaongea huku unalia?
Kama mlivyolia
Kilichotokea lea kwenye msiba wa balozi wa chadema Themi Arusha CCM wameaibika baada ya ndugu wa marihemu kuwakata ccm na kumtambua mweyekiti wa mtaa themi masha shiriki hm.
Godfrey Mushi na Kinabo Diwani Themi Mashariki. CCM wamekimbia na kuvunjika meno katibu wa CCM amepotea na ajulikani alipo.
we we
mleta mada ni mvivu wa kufikilia lakini pi huitakii mema Tanzania, hlo ni jambo la kushangilia kama mtu uliepevuka kweli? kua kiakili acha ushabiki usiokua na msingj na hiyo sacoss yako
... Ngoja Nivae Miwani Kwanza
Kwa Arusha, hakuna sehemu CCM wanaweza kufanya siasa zaidi ya kwenye misiba. Sasa kama kwenye msiba mmewafukuza dah! Nawaonea huruma....
Nasikia wamepigana nafwatilia habari