LENGIO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 1,096
- 508
Mwenyekiti wa ccm na makamu zake kwanini huwaga hawanaga mpinzani hupigiwa kura ya ndio au hapana hiyo ndio demokrasia?nahakika kabisa kikwete angekuwa na mpinzani kama angepata kura nyingi sana angepata asilimia 60 au chini ya hapo.na ukija kwa makamu mangula asingepita kabisa wapo wengi wanaofiti nafasi hiyo kuliko yeye na wenye pesa za kifisadi.kwa upande wa visiwani shein hukuna mpinzani ambaye angeweza kuchuana naye.