Elezea kidogohad sasa hakuna jipya ninaloliona zaid ya kunipa hasira tu... elimu imekuwa mbovu.. mfumuko wa bei ndo usiseme yaan mchele unashindana na unga kwa bei... kama hali itaendelea hv.. 2020 ccm nawapa bonge la nyanjo!!!!!!!
Hii uliyoandika ni nini? Ni ndoto, ramli au hisia? Kuujua uwezo wa mtu kwa njia rahisi, ni kumwacha aongee.Kwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??
MLETA MADA IVI KATIKA VYAMA VYOTE UMEONA CHADEMA TUU,......Kwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??
Kwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??
Chadema wameshalewa ngada za mwenyekiti
eti eeh kwahyo usiku wa 25 october walijifunika shuka na wakatangzwa washindi just like dat??? aseee kma ndo wafkiria hivo then naoma tuna safari ndefu sana.Mbona kwa katiba hii wapinzani wameongezeka bungeni?
ila mkiambiwa mruhusu mikutano mnakua wakali sana duhHeee ! unafananisha chadema na ccm? Ccm chama kubwa weye huwez fananisha na chadema
kura moja hiyo je umeuliza hao wengine??? muhim wekeni tume huru bas mjadala utafungwaNiache kumchagua JPM nikachague matapeli ya siasa chadema itabidi kupimwa akili kwanza
So far CCM watashinda kwa 90% hiyo ni sababu ya KATIBA na TUME HURU ila hivyo vikipatikana na mikutano ikaruhusiwa plus bunge live na uhuru wa vyombo vya habari naona kma uchagizi 2020 utakuwa mithiri ya 2015.Kwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020.
Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote.
Elimu bure, serikali kuhamia dodoma na kufufuka kwa Atcl pamoja na kuboreka kwa bei ya mazao ya biashara kwa wakulima kama vile pamba na korosho ni baadhi ya mambo yanayotoa mwanga kwa ccm kuendelea kutamba na kuaminiwa na wananchi zaidi mwaka 2020.
Kwa upande mwingine Chadema wanajaribu kuwinda na kuvutia wanachama wapya kwa kutetea wakwepa kodi, wala rushwa, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.
Chadema wanajaribu kujibanza nyuma ya wafanyabiashara, kwamba ikishinda chadema, biashara zao zitaboreka ,pia licha ya kwamba chama hakina hata ofisi, chadema wameahidi wanafunzi watasoma bure mpaka chuo kikuu.
Kwa hali hiyo chadema pia inatoa mwanga wa kutamba mwaka 2020 kupitia uungwaji mkono wa makundi yanayoshugulikiwa vizuri na utawala wa awamu ya tano.
Makundi kama ya wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa, wazembe kazini, wakwepa kodi, kwa sasa hawana nafasi ccm, hivyo watakimbilia chadema na kuipa matumaini ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2020.!!!
Wewe kwa maoni yako nani atatamba 2020??
ona mnavyojitia moyo wakati uchaguzi wa serikali za VIJIJI mliona mlivyopukutika toka 99% mpaka chini ya 60% mwaka 2014 then mnasema vijijini!!! anyway mnasema nyie mmewekeza nchi nzima bas nkuulize kipi kinawapa kigugumizi wanaccm kukubali mabadiliko ya katiba yatakayozaa pia tume huru ya uchaguzi??? kma mmewekeza sana kipi mnaogopa???MLETA MADA IVI KATIKA VYAMA VYOTE UMEONA CHADEMA TUU,......
IVI UMESAHAU KUNA VYAMA KAMA ACT,CUF,NCCR NA NLD.
ACT KWA SASA NDIO CHAMA CHENYE NGUVU MIKOA YA TABORA,RUKWA,SHINYANGA NA KIGOMA.
CUF NDIO CHAMA CHENYE NGUVU MTWARA,LINDI, RUFIJI, DAR , TANGA, MAFIA,
CHADEMA IPO MOSHI,ARUSHA MBEYA NA MARA.
CCM IPO DODOMA, SINGIDA, MWANZA,GEITA,PWANI, RUVUMA, MOROGORO,KAGERA,TABORA,IRINGA NA MAENEO YOTE YA VIJIJINI HUKO NDIPO CCM INA KURA NYINGI .
HAPO MKUU HAKUNA JIPYA CHADEMA WAO WATAENDELEA KUSHINDA MOSHI NA ARUSHA.
KWA MAANA CHADEMA SIASA ZAO HUKO NDIPO WAMEKEZA.
CUF ITAENDELEA KUSHINDA LINDI NA MTWARA.
ACT ATABAKIA KIGOMA NA RUKWA.
CCM YENYEWE ITAENDELEA KUSHINDA NCHI NZIMA KWA MAANA WAMEKEZA MPAKA VIJIJINI KWA MAANA CCM HAWAKUWEKEZA SIASA ZA UKANDAAA
Acha Kujipa moyo mkuu.ona mnavyojitia moyo wakati uchaguzi wa serikali za VIJIJI mliona mlivyopukutika toka 99% mpaka chini ya 60% mwaka 2014 then mnasema vijijini!!! anyway mnasema nyie mmewekeza nchi nzima bas nkuulize kipi kinawapa kigugumizi wanaccm kukubali mabadiliko ya katiba yatakayozaa pia tume huru ya uchaguzi??? kma mmewekeza sana kipi mnaogopa???
CHADEMA NI SACCOSS JAMANI.