CCM ushindi ni lazima:, MAGANYA

CCM ushindi ni lazima:, MAGANYA

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,584
Reaction score
17,526
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani Iringa
20240907_095744.jpg

Join the USHINDI chain
 
Nyie CCM, endeleeni tu kutupandia kichwani mbegu za mawazo mbadala za kuwaondoa. Kuna siku mtajuta. Hilo mkae mkijua. Ni kiburi kama hiki kilichofanya watu kama nyie baada ya kuondolewa kwa nguvu, walipelekwa kwenye viwanja na kufungwa kwenye nguzo huku wakiwa na vitambaa vyeusi machoni. Kisha yanakwisha.
 
"Kuna kitu hiyo inajulikana! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele.
Sasa kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi
Join the USHINDI chain
Huu ndio ukweli wenyewe!.
P
 
Nyie CCM, endeleeni tu kutupandia kichwani mbegu za mawazo mbadala za kuwaondoa. Kuna siku mtajuta. Hilo mkae mkijua. Ni kiburi kama hiki kilichofanya watu kama nyie baada ya kuondolewa kwa nguvu, walipelekwa kwenye viwanja na kufungwa kwenye nguzo huku wakiwa na vitambaa vyeusi machoni. Kisha yanakwisha.
Punguza hasira janja wakati wewe unabweka Huku mitandaoni viongozi wako wa juu Wanaridhiana na kunywa chai pamoja
 
CCM itaangushwa na wana-CCM wenyewe kutoka ndani na sio muda mrefu sana.Mnakumbuka ule mtafaruku kabla Marehemu Magufuli hajapitishwa kuwa mgombea??Hiyo itatokea tena...iko hivi kama hakuba serious maendeleo kwa wananchi, kama usalama hakuna kama hizi cases tunazosikia - viongozi wote wa CCM watabaki na karata moja tu..kila mtu atataka awe top pale au kila watu na kundi lao. Lazima mpasuko utatokea tu...CCM wenyewe wana njaa - na sasa hivi hakuna mtu wa kuwaokoa..- Magufuli alikuwa kama Masiha 2015 na still watu kama akina Membe waliondoka n.k yaani chuki ilikuwa waziwazi. Hakuna mesiha mwingine wa kuwaokoa CCM..na hakuna central figure wa kusema watu wakatii..sababu walijijengea hata ka utamaduni -Baba wa taifa akisema walikuwa wanapoa, sasa hivi nani Kikwete..Kikwete watu walipiga mayowe pale na wakaimba kama mgomo fulani akiwa bado Rais na mwenyekiti wa chama, sembuse sasa...Mkapa akiishajipumzikia, Mama Samia..hayo mambo hayawezi na hawatamsikiliza hata kidogo...
Kumbukeni hata hao viongozi wa zamani sasa wameishakuwa na familia kubwa kubwa, watoto, wajukuu, waka mwana n.k wote hawa wanahitaji vitengo waendelee kula keki ya taifa kwa amani....wanazidi kuwa wengi..lazima pachimbike.

Pia kuna generation Z..na watu wa 1990's na late 80's . Watu ambao wako below 45 yrs.Hawa maono yao ni tofauti kabisa na hao wazee ambao ndo wanazidi kuzeeka wengine kustaafu wengine wanatangulia..hizi generation hata CCM wamo pia..wanaona maisha yanavyoenda, wako more open minded, maslahi mbele, wanatake risks hatari, viburi na kujiamini kwa kwenda mbele, ambitions zilizopitiliza..hawa ndo wataiangusha CCM...ni kama ANC tu....nyakati zimebarika..mentality ya kulink CCM na ukombozi wa ukoloni kwa generation za sasa zinazidi kuishiwa nguvu..vijana wanasaka maisha wasipoyapata CCM watavurugana wenyewe.
 
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani IringaView attachment 3089314

Join the USHINDI chain
Hata Nape Nnauye alishasema siku nyingi zilizopita Bandugu. 😅👍
Au nasema uongo ndugu zanguni 😀😅🤣
 
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani IringaView attachment 3089314

Join the USHINDI chain
Ushi ndi ni lazima ni code ya ushindi kwa njia yeyote pamoja na kuiba kura napia kuiba uchaguzi mazima El magufuli na jecha.
 
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani IringaView attachment 3089314

Join the USHINDI chain
Huu ndio ukweli wenyewe!.
P
Nyie CCM, endeleeni tu kutupandia kichwani mbegu za mawazo mbadala za kuwaondoa. Kuna siku mtajuta. Hilo mkae mkijua. Ni kiburi kama hiki kilichofanya watu kama nyie baada ya kuondolewa kwa nguvu, walipelekwa kwenye viwanja na kufungwa kwenye nguzo huku wakiwa na vitambaa vyeusi machoni. Kisha yanakwisha.
Ushi ndi ni lazima ni code ya ushindi kwa njia yeyote pamoja na kuiba kura napia kuiba uchaguzi mazima El magufuli na jecha.
Hakuna marefu yasiyo na ncha!

Hata Dikteta Mobutu Sesseseko aliyekuwa Rais wa zamani wa Zaire (sasa hivi Congo DR) pia aliwahi kuwatangazia Wananchi wote wa nchi hiyo ya Zaire na dunia yote kwamba yeye ni "Rais wa maisha nchini Zaire".
Lakini siku yake ilipofika alilazimika kuikimbia nchi hiyo ya Zaire bila kupenda, alikimbia ili awahi kupanda ndege ya kumtorosha kutoka kwenye Makazi yake yaliyopo ktk kijijini kwao Gbadolite, alimsahau Hadi mke wake na ndege ya Jeshi iliyokuwa ikimtorosha ililazimika kurudi nyuma Tena kwenye maegesho ili Walinzi wake wakamchukue mke wake aliyemsahau na kumuacha nyuma.
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha!

Hata Dikteta Mobutu Sesseseko aliyekuwa Rais wa zamani wa Zaire (sasa hivi Congo DR) pia aliwahi kuwatangazia Wananchi wote wa nchi hiyo ya Zaire na dunia yote kwamba yeye ni "Rais wa maisha nchini Zaire".
Lakini siku yake ilipofika alilazimika kuikimbia nchi hiyo ya Zaire bila kupenda, alikimbia ili awahi kupanda ndege ya kumtorosha kutoka kwenye Makazi yake yaliyopo ktk kijijini kwao Gbadolite, alimsahau Hadi mke wake na ndege ya Jeshi iliyokuwa ikimtorosha ililazimika kurudi Tena kwenye maegesho ili Walinzi wake wakamchukue mke wake aliyemsahau na kumuacha nyuma.
We unaturetea maswala ya zamani?? Sisi tupo kidijitali analogy mtateseka mpaka mfe. USHINDI NI.......... malizia hapo
 
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani Iringa

View attachment 3089314

Join the USHINDI chain
Huu ndio ukweli. Tanzania hakuna vyama vya siasa kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Wapo kwa ajiri ya matumbo yao. Ndio maana unaona hawana dira, hawawezi kuungana, sera zao hazieleweki.

Ni vijana wakichoka ndio wataitoa CCM madarakani.
 
Back
Top Bottom