Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,001
- 32,574
Sio kwa kutuuwa huku aseeh.
Ushindi ni lazima kwa sababu CCM ni chama cha kishetani kinachoamini katika kuwaua wapinzani wa hoja.Huu ndio ukweli wenyewe!.
P
Watu wengine wanajisahau sana !Uzuri mwanadam hatuishi milele
Unafikiri mwanadam angeishi
Milele dunia ingekuwaje
Ova
Ndomana wakikutwa na madhila hawa mfano maradhi nk wanavyohangaika wala hakuna kuwaonea huruma,Watu wengine wanajisahau sana !
Wanadhani hapa ndio wameshafika!
Wapo tayari kufanya ubaya wowote kwa watu wengine wasiokuwa upande wao !
Hatari sana !🙄
Kama havipo wale wanaotekwa ni kwa sababu gani,ni kwa sababu ni lazima ushindi au hao ni nyani wanaovamia mashamba ya ambao lazima washinde?Huu ndio ukweli. Tanzania hakuna vyama vya siasa kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Wapo kwa ajiri ya matumbo yao. Ndio maana unaona hawana dira, hawawezi kuungana, sera zao hazieleweki.
Ni vijana wakichoka ndio wataitoa CCM madarakani.
Kama havipo wale wanaotekwa ni kwa sababu gani,ni kwa sababu ni lazima ushindi au hao ni nyani wanaovamia mashamba ya ambao lazima washinde?
Sawa wao hawawezi ila wa lazima ushindi wwanaweza.Ni kwa sababu wanaweza kuwateka na hakuna kitakachokea. CDM kuhamisisha watu wao kuingia mtaani hawawezi, dola inajua hivyo. Ukiangalia siasa za Chadema chini ya mbowe zimejenga matabaka, watu kama Mpina na wengine ndani ya CCM wangeweza kuwa wadau muhimu kuunganisha nguvu. Chini ya Slaa Chadema iliunganisha Watanzania wengi kutoka vyama vyote.
Sure lo time is the best answer