namshangaa sana mtu anae jiita msomi na bado ana shabikia ccm sijui kuna nini huko jipya wanalo tegemea
namshangaa sana mtu anae jiita msomi na bado ana shabikia ccm sijui kuna nini huko jipya wanalo tegemea
hata mie hainiingii akilini kabisaaa...inawezekana wamesoma but hawajaelimikanamshangaa sana mtu anae jiita msomi na bado ana shabikia ccm sijui kuna nini huko jipya wanalo tegemea
safi sana wapendwa kaza buti
namshangaa sana mtu anae jiita msomi na bado ana shabikia ccm sijui kuna nini huko jipya wanalo tegemea
Pamoja na kwamba lengo letu ni kuleta mabadiliko na kuifanya Serikali iwe transparent na accountable kwa wananchi wake, nadhani vitendo vya kuwashambulia wanafunzi wa UDOM ambao ni wanachama wa CCM ni kinyume cha sheria. Waachwe waandamane ili watimize haki yao ya kidemokrasia. Na hapa JF tukemee fujo dhidi ya kukundi chochote kile au mtu binafasi atakayenyimwa haki yake ya kidemokrasia regardless of a party affiliation, awe wa CCM, Chadema, CUF, NCCR..it does not matter. At the end of the day,wenye akili watajua ni chama kipi kwa maslahi ya Mafisadi na ni chama kipi kipo kwa maslahi ya ordinary people.
Hii ni propaganda ya Uchadema! Chadema walitaka kuanzisha mgomo Social science hadi Tundu lisu alishiriki kupanga nao mikakati lakini vijana wa CCM waliuzima na kuwambia msilete uchadema Udom! Nimapema mno kujitangazia ushindi bado CCM ina nguvu sana Udom! Chadema wanaonekana kwa kuzomea lakini CCM wanafanya mikutano ya mafunzo kila siku kimya kimya!
kazi kweli kweli lakini jamii tuwe tayari kukubali kutofautiana kwa itikadi tunajua CCM wamepotea lakini isifike wakati tukawapiga mawe kwani Daima hatutaki taifa lenye pande moja ya mawazo. Ni wakati wa kujenga mfumo safi wa siasa za nchi yetu ili tuwe na mfumo wa mawazo mbadala na kuwakomboa vijana wenzetu walio katika jela ya CCM