Ccm Ubwabwa vs Ccm Utundu

Ccm Ubwabwa vs Ccm Utundu

Dream big

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
74
Reaction score
19
Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki)
Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili.
Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili ashinde
1.Awe na mpinzani dhaifu (chaubwabwa)
2.Awe na upinzani wenye kutugawa kidini (kigoma cha zito)
3.Upinzani wa kweli ufungiwe (Utundu wa antipasi)
Alafu sisiemu ya pili ya mzee slow slow ambayo Inataka reforms ili ipate mgombea competent ambaye hata chadema waje na lisu inakuwa kama vile Magufuli vs tundulisu
2. Inataka uhuni uondoke
3.Inapinga utekaji nk.
Japokuwa kweli hamna anayeipenda sisiemu kiivyo ila kwa hali iliyoko tunaitegemea sana kwenye kuamua aina ya upinzani utakao kuwepo.
So kama tukienda na Ubwabwa ,tundu atabaki ndani,chama chake kitazimwa kimahakama na reforms hazito patikana
Ndio maana unaona Instagram ya Akina maria na mange ni kama vile ccm na chadema wameungana kukataa uhuni wa ubwaubwa ili kuziba matundu ya risasi kwenye mwili wa Antipasi ,bila kujigawa kidini kwa ajenda za kizito na zuberi wake Bali kukata uhuni, kislow slow tutafikia kwenye Reforms ili wote tuingie kwenye election.
#Zidumu fikra za mwalimu
 
IMG-20250722-WA0128.jpg
 
Back
Top Bottom